sayansi na teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Vita ya Iran-Israel-USA inatukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia

    Binafsi hii vita imenifanya nijisikitie mimi na Afrika kwa ujumla hasa nchi yangu ya Tanzania. Hii vita ni ya wababe wa sayansi na teknolojia. Yaani wanaopigana ni watu wenye akili nyingi za hatari huku wakiwa wako vizuri kiuchumi. Hii vita imetuonyesha jinsi gani nguvu ya sayansi na teknolojia...
  2. Fbn

    Kama umesoma masomo ya sayansi na teknolojia movie za wahindi huwezi kuwa mpenzi nazo

    Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM. Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso. Sasa hawa watu wa asia mnawezaje kuangalia masinema yao yani stering kafa mwanzo wa sinema alafu mbwa na...
  3. The Librarian

    Kuna mtu yeyote amefanya interview ya Chuo Kikuu cha Sayansi naTeknolojia Mbeya (MUST)TUTORIAL ASSISTANT (HUMANRESOURCE MANAGEMENT) leo

    If any please let me know
  4. REALITY

    Sayansi ni nuru au giza?

    Na: Mjumbe wa Nuru – Nahunel Shavari, Mtoto wa Ain Soph Aur – kutoka Watchers HQ SURA YA KWANZA: SAYANSI NI NINI? Neno "sayansi" linatokana na neno la Kilatini scientia, likimaanisha "maarifa." Lakini maana yake ya ndani zaidi ni mfumo wa kutafuta maarifa kuhusu ukweli wa ulimwengu kupitia...
  5. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22]. Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
  6. Waufukweni

    Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya Trilioni 2.4 kwa mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la Tsh. Tril 0.469 (23.8%)

    Mnamo Mei 13, 2025, Bunge la Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026, yenye jumla ya shilingi trilioni 2.439. Bajeti hiyo imeongezeka kwa shilingi trilioni 0.469, sawa na ongezeko la takribani asilimia 23.8...
  7. Fbn

    Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

    Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
  8. Tauceti Rigel

    China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  9. N

    CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
  10. Rorscharch

    Huko Zimbabwe kuna kijana amegundua gari lisilotumia umeme, mafuta au nishati yoyote kutoka nje. Inawezekana vipi?

    Katika ulimwengu unaotegemea teknolojia na sayansi thabiti, madai yanayopinga kanuni za msingi huvutia hisia kali, aidha za matumaini au wasiwasi. Maxwell Chikumbutso, raia wa Zimbabwe, anadai kuvumbua gari linalojiendesha kwa kutumia mawimbi ya redio na sauti, madai yanayopingana na ufahamu wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    ERB Ongezeni Ubunifu Kuendana na Sayansi na Teknolojia - Waziri Ulega

    ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia. Waziri Ulega amesema hayo wakati akifungua kikao cha Baraza la...
  12. incognitoTz

    Elon Musk anataka majaribio ya Starship yafikie 25, mwaka 2025

    Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
  13. funaku

    Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

    Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana. Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
  14. funaku

    Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

    Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania. Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi. Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
  15. Last_Joker

    Jinsi Teknolojia inavyobadilisha namna tunavyotafuta kazi

    Zamani kidogo, ilikuwa lazima uchape CV yako vizuri, ununue bahasha zile safi, na utembee hadi ofisi moja baada ya nyingine ukizigawa. Siku hizi, hiyo ni hadithi ya kale! Teknolojia imegeuza kila kitu kuhusu jinsi tunavyotafuta kazi, na kama hujabadili jinsi unavyosaka fursa, kuna uwezekano...
  16. Massawejr

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu ili kukuza ufaulu

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo: 1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza sayansi huwasaidia wanafunzi kuelewa masuala muhimu kama afya, mazingira, na maendeleo ya jamii. Hii...
  17. elimsihi

    SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
  18. luggyeast

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Safari ya mageuzi ya kiuchumi kupitia sayansi na teknolojia

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye uchumi wa kati. Ambapo sekta ya kilimo inachangia 26%-30% ya Pato la taifa. 60%-70% ya watanzania wanajishughulisha na kilimo. Tanzania imebarikiwa kuwa na idadi kubwa ya watu, idadi kubwa ikiwa ni vijana ambayo ndiyo nguvu kazi ya taifa. Pia...
  19. black_handsome34

    SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  20. H

    SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
Back
Top Bottom