SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI
Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane.
Zingatia mambo yafuatayo :
a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo.
b. Ili uchukie lazima uwe...
Yaani unakuta kazi inataka Degree ya HRM unafika na cheti chako cha Degree na Matokeo yake, Watumishi wa Secretariate wa Ajira wanakuzuia kufanya usaili eti mpaka ulete vyeti vyote vya ngazi ya Diploma na Certifcate.
Sasa pia inapotokea labda umewapa cha Diploma na hivyo vingine vya level ya...
Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu.
wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50
NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME.
ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi.
Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika.
Hata hivyo, baada ya majibu kutoka, tuliandikiwa dawa muhimu kwa ajili ya matibabu yake lakini nikaambiwa...
Anonymous
Thread
dawa
dawa muhimu
kimara
kituo
muhimu
nje
sawa
sio
wagonjwa
zahanati
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992)
1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika.
Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa.
Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
Anonymous
Thread
bariadi
kuzuia
mazoezi
mifugo
mkuu
mkuu wa wilaya
mpira
sawa
uwanja
uwanja wa mpira
wilaya
Hamjambo!
1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu.
2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume.
3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
Wadau habari,
Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili?
Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia...
Mods Uzi huu uachwe ujitegemee tafadhari.🫷
Awali ya yote Mimi mpango wa kwenda mbinguni ni kama haupo maana kila nikipiga tathimini Bado najiona Sina sifa hizo
Kwanza Zaka sitoi,sadaka nishakataa kuipeleka kanisani.
Ukija namna ya kuishi napo Bado na pwaya maana uko zako unawaza kuchuma...
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi.
Tumewekewa chini ya 480k na...
Anonymous
Thread
kampuni
kampuni ya ulinzi
mambo
maslahi
maslahi ya wafanyakazi
sawa
ulinzi
uongozi
wafanyakazi
Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita?
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa.
Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
Hii ni tahadhari kwa watu wenye roho mbaya, roho za kichawi.
Iwe unamchukia mtu kwakuwa alikutendea jambo baya, au alimtendea mtu mwingine jambo baya au umeamua tu kumchukia kwasababu za kisiasa au unamchukia mtu kwasababu ya ujinga uliokukandamiza.
Yaani haupaswi kumchukia mtu.
Nyie...
Habari wanajamii,
Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula.
Je, hili linaashiria nini...