sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii kura ya maoni iliyofanyika Ukraine ni sawa na kutafuta maoni ya mbuzi abakie kwenye mwitu au amilikiwe na watu: Jibu linajulikana!

    Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na uhakika kabisa kuwa zoezi la kura litaendeshwa kwa uhuru na uwazi. Wapo watu wengi toka nchi za...
  2. JamiiForums Tanzania Hii kisheria imekaaje? Je ni sawa kumuanika muharifu namna hii?

  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu sana kukutana na mtu mtakaependana kwa kiwango sawa?

    Ewe msoma mada jiulize wewe mwenyewe nafsini kwako, huyo mpenzi ulie nae unampenda kweli? (Ni dream partner wako tangu siku ya kwanza ulivomuona), au upo nae ili muda uende, nahis kwenye mahusiano watu wengi wameamua kuridhika na wenza walio nao, ila kiuhalisia tangu mwanzo hawakufurahia uwepo...
  4. JamiiForums Tanzania Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

    Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania isiyokuwa na vyama. Nini tatizo?

    Wana JF, SALAAM! Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo. Mfano:- (a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
  6. JamiiForums Tanzania Stori yangu, Niliacha shule form 4 nyumbani nilidharaulika, nilichekwa nilipoenda kujifunza useremala ambao leo umerudisha heshima yangu

    kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k. Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ili akili zitukae sawa, napendekeza serikali ije na tozo za kufungua pages za watu maarufu mitandaoni

    Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu . Nadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Njaa haina adabu, uliwahi kukamatwa na njaa kisawa sawa na uliituliza vipi ?

    Kuna watu wanakula mahindi ya kuchoma jioni kwa kuburidisha vinywa lakini kwa mwengine ni kwajili ya kuokoa maisha, njaa isikie tu. Kuna kipindi njaa ilinipiga kwa siku inayokaribia ya pili bila kuweka chochote tumboni, nililegea sana ila nilijifanya nina nguvu nisichekwe na wenzangu...
  9. JamiiForums Tanzania PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

    Habari wakuu.. Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu.. Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu.. lowyer.. hajaidhinisha vyeti vyangu.. nikavipeleka vikaidhinishwa.. 2.nikatuma tena.. sikuitwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chelsea kumfukuza Tuchel ni sawa?

    Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
  11. JamiiForums Tanzania Si ajitokeze jamani, hata akinichezea sawa tu

    aje mdada mmoja
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kumpelekea moto mtoto wa kaka yake na bibi?

    Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
  13. JamiiForums Tanzania Tuchague lugha moja ya kimataifa ili tuweze kwenda sawa na wenzetu

    Habari Wana Jamvi, Naandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni, yaani watazania sijui tunasimama wapi ndugu zangu kwa upande wa lugha za kimataifa si Kingereza wala Kifaransa (maana naona passport zetu zina lugha ya Kifaransa) tunaweza kuzungumza. Tunadanganywa na BAKITA kwamba Kiswahili ni...
  14. JamiiForums Tanzania Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

    Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
  15. JamiiForums Tanzania Ikiwa tozo na VAT zina kiwango sawa, tafsiri nyepesi ni kwamba VAT imeongezeka mara 2

    Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double. Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

    Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
  17. JamiiForums Tanzania Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

    Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ... Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  20. JamiiForums Tanzania Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Kuna hili suala la kuwa mtu akipata ajali iwe ya kupigwa au ajali ya aina yoyote ile, inabidi apate kibali toka Polisi ndio kisha atibiwe je hii ipo sawa? Kwanini inakuwa hivi? Nilijaribu kuuliza sababu ni nini na jibu nalopewa ni kwa sababu za kiusalama, sasa sijui kama ni haki kumwacha mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…