sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sukari 6 asubuh ni sawa?

    Habar wakuu nikipima sukari asubuh ya saa mbili Iko 6 na hapo nakua nimekula chakula saa mbili usiku,je kiwango Hiki nisawa? Kwa mwezi huu wa ramadhani nikija pima saa kumi na moja jioni nakuta Iko 4.7 hapo nitangu Nile Jana jioni yake ktk futar
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.chunguzeni wale wanaotaka waishi wote sawa

    Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana. Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa. Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya...
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je? Ni sawa kwa watu hawa ku-staafu?

    Naam kwa fikira za kawaida tu....Wachungaji,wainjilisti,mapadre na ma sista hawa watu wamekula kiapo cha kumtumikia Mungu mpaka kufa kwao.Wameweka nadhiri. Sasa pale wanapo staafu nini tafsiri yake? Hasa kwa wale wanaostaafu bado wakiwa na nguvu. Je? kwenye Biblia kuna nabii au mtume yeyote...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

    Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu. Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503

    Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa. Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
  7. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Siku niliyoamini kweli mimi mjomba ni sawa na mama😊

    Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
  8. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi. Kwa busara tu...
  9. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

    Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania. Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura katika mfumo wetu wa uchaguzi ni kupoteza muda. Bila mageuzi ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  13. Solo Traveller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa kuwasiliana ukweni kabla ya kuoa?

    Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
  14. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

    Wakuu heri ya jumapili. Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi. Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
  16. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  17. Bujoro

    JamiiForums Tanzania Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000/=

    Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu mbao ya mninga ulivo imara na bei kubwa ni 6 ×5 ,lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni...
  18. Bujoro

    JamiiForums Tanzania Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000 /=

    Habari za leo ndugu zangu najua mko poa, naenda kweny dhumuni langu kama kichwa cha uzi kinavojieleza, nauza kabati langu la mninga, nimelinunua lina mwaka mmoja tu ni 6×5 lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni tsh 299,000 /= halina kipengere chochote wala changamoto yoyote ni mali...
  19. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

    Nimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana. Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni wanaruhusiwa kuchapwa namna hiyo? Hakuna adhabu nyingine kwani ya kuwafanya wasirudie kosa? Nawasilisha. Cc...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa bararara ya njia nne Mwanza- Usagara ni sawa?

    Wakati bajeti ya mwaka 2024/2025 ikisomwa, ilielezwa ujenzi wa barabara ya njia nne kati ya Mwanza hadi usagara, ungefanyika. Bajeti mpya ya 2025/2026 itawasilishwa hivi karibuni. Mwezi uliopita waziri mpya wa ujenzi alifanya ziara Mwanza. Tuliona vifaa vya kutengeneza barabara vikichimba eneo...
Back
Top Bottom