sanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Muhoozi Kainerugaba Dreams of Monument to Yoni Netanyahu (brother of Benjamin Netanyahu), Slams Sudan’s RSF

    Uganda Kumheshimu Yoni Netanyahu Uganda inatarajiwa kuzindua sanamu ya Yonatan Netanyahu, kaka mkubwa wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ambaye aliuawa wakati wa operesheni ya ujasiri ya 1976 ya kuwaachilia mateka wa Israeli waliokuwa wakishikiliwa na magaidi wa Ujerumani na Palestina katika...
  2. Fbn

    Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

    Wahindi nao wameamua wasiwe wanyonge wakaona kuweka sanamu la messi lenye urefu wa futi 70. 😄 Nimeshindwa kuendelea imebidi nicheke.
  3. W

    SI KWELI Burkina Faso inajenga sanamu kwa ajili ya Rais wao Traore

    Wakuu nimeona huko mitandaoni hili jambo lina trend sana
  4. PROFOUND NOTION

    Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  5. Poppy Hatonn

    SI KWELI Sanamu ya Lissu yazinduliwa Arusha

    Au hii habari ni fake news?
  6. a sinner saved by Christ

    Je Mungu ameruhusu tujifanyie /tutengeneze sanamu za kuchonga ?neno la Mungu linasemaje kuhusu kujifanyia sanamu??

    Neno la Mungu linasema Kutoka 20:4-6 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
  7. F

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
  8. The redemeer

    Sanamu la Liberty 🗽 of status na siri iliyojificha ndani yake

    👉Sanamu la uhuru lilibuniwa na mchoraji wa kifaransa anaye fahamika kama Fiederic Auguste Bartholdi, ambaye ni Freemason maarufu anaye julikana vizuri. 👉Freemasonry ni Ufundi (Craft). Na Ufundi huo (craft) katika Freemasonry unahusu kujenga Ubongo wa juu, Kujenga moyo bora na kujenga nafsi...
  9. J

    Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua

    Watu Wanafanya Ibada ya Sanamu Bila Kujua Ibada ya sanamu ni nini Mara nyingi watu wamedhani kwamba ibada ya sanamu ni kuweka kinyago hapo mbele yako na kuanza kukiabudu. Kwa upande mwingine, watu wanashangaa wenzao ambao wana vinyago majumbani, mahekaluni, kazini, nk, na wakiviabudu na kuviita...
  10. MwananchiOG

    Baada ya sanamu ya Rage ninashauri sanamu ya Mangungu ijengwe pia, Mtu wa maana kabisa

    Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
  11. T

    Sanamu la Mke wa Trump limeibiwa huko Estonia

    Sanamu la kumuenzi mke wa Trump, Melanie Trump mwenye asili ya nchi ya Slovenia .limeibiwa na maharamia wa biashara ya vitu vya sanaa wanaojulikana kama Art Thieves Inasemekana hilo sanamu liliakisiwa kwa thamani ya milioni ya dola liteenda kuuzwa kwa wakusanyaji wa sanaa za wizi huko nchini...
  12. Fbn

    Sanamu ya Uhuru (Statue of Liberty) na Fremenasoni na kwa nini New York jina nick name linaitwa big apple

    Sanamu ya Uhuru iliyopo New York ni zawadi kutoka Ufaransa mwaka 1886, ikiwa ni ishara ya uhuru, demokrasia, na marafiki wa mataifa mawili. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwa na hadithi na nadharia za usiri zinazosema sanamu hiyo ina uhusiano na Fremenasoni (Freemasons), kundi la kijamii...
  13. Bhikalamba

    Napendekeza mwamba huyu ajengewe mnara au sanamu

    Wapendwa wa jukwaa letu pendwa la JF, where we dare to talk openly; kutokana na kilichotokea kisutu na viunga vya Dar es salaam tarehe 24/04/2025, ambapo najua wasomi na wafatiliaji wa mambo humu JF mnajua Sina haja ya kuelezea. Ila hii video kupitia link hii itasaidia kuelewa...
  14. sergio 5

    Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

    Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁 Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
  15. Dr Matola PhD

    Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  16. Rorscharch

    Sanamu Yako Ni Ipi? Raha? Nguvu na Mamlaka? Pesa? Au Heshima na Umaarufu ?: Tafakari Kuhusu Vitu Vinavyotufunga na Kutufanya Tujute

    Moja ya mambo magumu zaidi maishani ni kuelewa kwa nini tunafanya mambo tunayofanya. Kwa nini tunachagua njia fulani badala ya nyingine? Kwa nini tunavutwa na vitu ambavyo baadaye vinatuletea majuto? Kwa nini mara nyingi tunajikuta tunarudia makosa yale yale licha ya uzoefu wa nyuma? Swali hili...
  17. Mstahiki Mea

    Chatgpt kuhusu ibada ya sanamu

    Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa. Kwa mfano, katika Amri kumi (Kutoka 20:4-5), Mungu alisema: "Usijifanyie sanamu yoyote wala picha ya kitu...
  18. Mindyou

    Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  19. Poppy Hatonn

    Jana nimekwenda Posta Kuu jijini London kupeleka sanamu ya Kanisani, nimefukuzwa kwa ajili ya tabia yangu mbaya

    Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa. Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja). Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa nenda counter ya mbele, itakuwa cheaper but it will take two weeks to arrive in London. Ikapimwa...
  20. Just Pray

    Mliosomea Cuba Hii sanamu ya Mwl. Nyerere iliyozinduliwa huko Cuba inafanana na Mwalimu kweli?

    Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Anayansi Camejo na baadhi ya viongozi wengine kutoka mataifa yote...
Back
Top Bottom