Habari wanaukumbi!
kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake...