sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna clip moja niliiona ya Mzee wa Ufafanuzi na Ukanusho. Nikaishia kucheka sana

    Maake hapo kwanza ncheke 😁😁
  3. JamiiForums Tanzania Mdada akiwa anakuangalia sana huku anajichekesha anamaanisha nini?

    Leo nimekaa sehemu karibu na genge la matunda akaja mdada mmoja anataka kununua tango akapewa akasema hapana mi napenda matango manene,baada ya kauli hiyo akaniangalia huku anacheka namimi ikabidi nitabasam kidogo akaendelea tena nipe na lile kubwa, akageuka tena akaniangalia huku anacheka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pole Sana Dotto Magari: Nikupe Moyo haya majaribu unayopitia utayavuka salama Mdogo wangu

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mkasa mgumu sana kwenye maisha yangu

    . Naomba niwasimulie tuu, Leo nimepatwa na jaribu gumu sana kwa mara yangu ya kwanza katika maisha yangu. Nimekuwa nikisoma thread nyingi tu humu JF kuhusu vijana kuacha masuala mazima ya tamaa, pamoja na mikasa ya watu iliyowapata kama story ya yule jamaa aliyekuwa wakimwita Apostle...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wanausalama wa Barabarani Mkata hizi tuhuma za rushwa mnazisawazishaje? Mnaonea sana madereva wa Lori

    Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari. Katika hicho kituo...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania mnasahau haraka sana. Hebu tuangalie maneno ya Kitila Mkumbo, miaka michache tu nyuma

  9. JamiiForums Tanzania Kongole sana Gen Z, kwenye burudani hampoi na hamboi kabisa! 😂👏

    Kuanzia Leonardo, yule jamaa wa "Tutakufuatilia", Eliud na mkewe, Koy Mzungu, Mama Mawigi, Mwenyekiti, Big na wenzie, Mlima Viazi Nziku kule Njombe, Wanyalu Tulizo na wenzie kitefu cha makani, Mwalimu wa Songea, rais wa mawinga na demu wake (huyu namcrush), Nyanda Kabundi (the lake zoner na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwakweli CCM kwa miaka ya hivi karibuni mnatuletea viongozi wa hovyo na wa ajabu ajabu sana sana! Chama kimekumbwa na nini?

    Swali linajitosheleza kwenye sredi
  11. JamiiForums Tanzania Hayo Maisha Unayoishi Humo Ndani na Mkeo Ni Ukiamua Korekodi Utauza Sana

    Vile vimigogoro, fulana na huzuni mnazopitia humo ndani ni biashara tosha. Ila usisahau kazi ya editor, ndoa isije ota mbawa.
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  13. JamiiForums Tanzania Angalau sasa nimejipata naweza tena kuwa na Demu. Nimeishi kwa mateso sana Mwananyamala

    Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa. Ilikuwa ngum kuleta demu maana palijaa wa mama wa kiswahili wanapikia nje muda wote kelele uwezi letq demu usiwape mada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania si Kila kabila lifaa litoe viongozi wa juu, usaliti ni mwingi sana ongezeni upembuzi wa nani awe kiongozi wa juu

    Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika nyazifa za juu waishie kwenye uheadmaster. Kuna wale hawawezi kuwaheshimu viongozi waliojuu...
  15. JamiiForums Tanzania Lijue jimbo la Galatia lililokuwa maarufu sana zama za Biblia

    Galatia haikuwa mji mmoja, bali ilikuwa eneo (jimbo) katikati ya Asia Ndogo (leo ni Uturuki). Galatia ilipata umaarufu mkubwa katika Biblia kwa sababu Mtume Paulo aliandika waraka maarufu unaoitwa Waraka kwa Wagalatia. Historia ya Galatia Karibu mwaka 278 KK, makabila ya Wakelti (Celts)...
  16. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

    Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98% Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu IGP, Mkuu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Tuliwaonya sana hamkusikia

    HAYA sasa mmepata mlichotaka baada ya kukaidi kuonywa muda mrefu sana. Yuko wapi mtoto wa Heche? Yuko wapi mtoto wa Mnyika? Yuko wapi mtoto wa Lema? Yuko wapi mtoto wa Msigwa? Yuko wapi mtoto wa Maria japo hazai? Wako wapi ndugu za Heche, Mnyika,Lema, Chiba na viongozi wengine? Yuko wapi...
  18. JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

    Ukianzia Elimu Kilimo Afya Sekta ya usafirishaji Katiba na sheria Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k Inamfanya asifanye mtihani Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani Kilimo Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa Afya Bima kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa Kwa Mabenki, Voda Yapata faida Mara 5

    My Take Wanaiba sana bando Hawa ============ Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeanza mwaka mpya wa fedha kwa neema kwa kuripoti faida baada ya kodi ya Sh47.3 bilioni katika robo mwaka iliyoishia Juni 2026, ikiwa ni zaidi ya mara tano ya kiwango kilichoripotiwa mwaka jana. Faida hiyo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…