The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Wadau hamjamboni nyote?
Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu
Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
Leo kila staa anamlaumu said said kias kwamba aliwakera kweli na kutama jana kukimbia ktk ukumbi wa masaki dom..
Ni hivi nilimsikia Said Said kwa kupita radio tbc taifa akichekesha na kuwafurahisha watu mimi sijaona kosa lolote alilo lifanya zaid San nimefurahi amewakera haswa machawa wa ccm na...
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.
Picha hii hapa👇
Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania.
Tanzania...
Katika harakati za hapa na pale nilifanikiwa kuiona DSM kwa mbali aisee ni kajiji kadogo sana. Yaan magorofa vya posta kwanza yanayoonekana ni kama matatu tu, mengine kama ya kkoo yanaonekana ni mrundikano mdogo sana tena kwenye kaeneo kadogo sana.
Badala ya kufuga mapori nashauri jiji hili...
siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa.
Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
Salam kwenu Wajenga nchi na Wabomoa Nchi, wajinga kwa wenye hekima.Nchi hii ni yetu sote, tuvumiliane.
Nakerwa sana na tabia iliyoibuka ya kumuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika.
Huo ni utumwa wa kifikra,na ni jitihada za makusudi kuidogosha Afrika na Mashujaa wake.Kwanini Che...
Kama Watanzania tungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo ajabu ni kwamba watu wanaangalia vichekesho tu vya kina side na Leonardo jamani crip za Simba na Yanga ndo zinapotezea muda watu.
China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria.
Mwaka...
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS).
Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya.
Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90...
Salaam,
Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika.
Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake...
Inasikitisha sana
Katika miaka ya 1990, kulikuwa na picha iliyosambaa sana ya tai aliyekuwa akisubiri msichana mdogo aliyekuwa na njaa kufa ili aweze kula maiti yake. Picha hiyo ilipigwa wakati wa njaa ya mwaka 1993/94 nchini Sudan, na mpiga picha kutoka Afrika Kusini aitwaye Kevin Carter...
Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..