Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida.
Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan...