sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Tanga kuna nini mbona wapo nyuma sana?

    Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko. Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni. Ina mana ukitaka kwenda Tanga inabidi uende hadi stendi ndio upate tiketi? Sasa huo si uzamani sana wakuu Nataka nikate tiketi kwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM kimekuwa chama cha hovyo sana

    Hili lichama limekuwa kituko sana. Kuna mambo linafanya hadi unajiuliza hivi hawa jamaa hawana hata aibu? Mnakumbuka yale maandamano yaliyoandaliwa na Diaspora wa Marekani? Eti nayo maccm yakaandaa maandamo ya kumpongeza Samuya kucounter attack. Yakakodisha wameksico (Mexicans) waandamane...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana

    Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo yameachiana space, kati ya jengo moja na lingine. Uzunguni ni mtaa ambao upo kimya sana, kiasi...
  5. JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe alikuwa ana mapungufu yake, lakini alikuwa anakiokoa sana hiki chama! Master of politics

  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jana uso kwa uso na wanaomchukia! Kiongozi anatakiwa achunge sana ulimi wake

    Ni kweli kabisa hakuna kiongozi ambae atakubalika na jamii yote. Ndio maana hata huko USA - Trump kila siku anatukanwa hovyo kama mtoto. Jambo la msingi ni Kiongozi kuwa makini na matamshi ambayo yatachochea chuki zaidi. Mpaka sasa najua wakatoliki wengi wanayo ya kwao moyoni. Lakini ile...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Chief Hangaya ameonyesha uhodari wake wa kuilinda himaya yake

    Chief Hangaya ameidhirishua Dunia kuwa chief hodari mwanamke wa Karne hii ya 21, ameionyesha Dunia kuwa ni chief mwanamke mwenye uwezo mkubwa wa kuilinda himaya yake na watu wake. Huu uhodari ushuke Hadi chini kwa machifu wenzake wadogo wadogo katika kusimamia maadili ya watu wao, ili ifikie...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa miji ya Africans

    Umewahi kujiuliza kwa nini Waafrika hususani sisi weusi tunadharauliwa sana? Actually sababu sio rangi yetu ya ngozi pekee, bali kuna sababu nyingi mno kwa nini Waafrika wanadharauliwa sehemu nyingi duniani Actually sababu zipo nyingi ila kwa leo acha tuangalie miji Unaweza kushangaa ila ukweli...
  11. JamiiForums Tanzania Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

    Sihangaikii chochote naacha nature iamue! Sihofii chochote Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
  12. JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

    Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha. WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki. Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia. Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  15. JamiiForums Tanzania Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

    Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

    Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anamfahamu mmilikiwa wa Cheche Times anaeneza sana chuki za kidini. Naombeni Tujuzane

    Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji. Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kwa kasi Sana: Akifa mbunge wa CCM, GEN Z wanashangilia lakini Akifa GEN- Z anazikwa kishujaa na Kwa maandamano

    Nini kimetokea siku hizi. Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano. Fundisho: Wabunge wa CCM mjitafakari hali ni mbaya Sana, GEN-Z hawataki hata kuwaona mkivaa hizo T-Shirt zenu za Chama
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizzo: Naomba sana tusapoti wasanii wetu, ni vijana wa kimaskini

    Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti walijihusisha na Siasa kwani wale ni watoto wa kimasikini ambao wanapambania ndoto zao hivyo kuacha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…