sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Baadhi ya Night Club kuna wahuni wenye ubabe wa kizamani

    Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana. Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
  2. B

    KERO Chakula kinachotolewa Shule ya msingi Olimpio, Upanga ni kibovu

    Chakula ni kichafu shule ya Olimpio watoto wanalalamika kuumwa matumbo, taarifa ni kwamba chakula kina wadudu.
  3. F

    Waungana naandikia uzi huu nikiwa na uchungu usio na kifani

    Waungana naandikia uzi huu nikiwa na uchungu usio na kifani. Leo mida jioni saa 12 nikasema nitembelee pande za lubumbashi hapa Mbezi luis angalau nipunguze uzito maana nina muda sijagusa. Nikachora ramani nikavuta ka manzi kembamba nikasema ngoja nionje dizaini hii, maana sijawahi mwembamba...
  4. C

    Ninavyoichukia teknolojia ya redio fm!Watu wa vijijini wametengwa sana

    Wakati mabadiliko ya kutoka mawimbi ya midwave na short wave,tuliaminishwa kwamba Frequency modulation (FM) itakuwa bora na mkombozi wa wapenzi wa redio. Ninakubali huenda kwa watu wa miji mikbwa kama Arusha, Mwanza ,Dar , na Dodoma wanaweza kuwa wanasikia vizuri kwa utulivu vituo vingi vya...
  5. Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi
  6. Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  7. Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

    KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na kumwona ni wale wanawake wa standard za kawaida ni kuwa na mtazamo usemao kuwa kumzungusha mwanaume au...
  8. K

    GE2025 Maboto aongoza kura za maoni Ubunge jimbo la Bunda Mjini

    Hongera sana Mhe. Maboto kwa kuongoza kura za maoni ya CCM Bunda Mjini. Sasa haki itendeke. Tusije tukaona mtoto wa Wassira akiteuliwa kuja kugombea Jimbo la Bunda mjini. Nasisitiza tena. haki itendeke. Aliyeshinda apewe haki yake.
  9. Jimbo la Sikonge Tabora inakuaje mnaweka viongozi dhaifu sana ?

    Mlianza na Said Nkumba , mkaja Joseph Kakunda kwa ila kwa Munde. Mpo sahihi. Mnabidi kujitafakari Sana .
  10. Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  11. GE2025 Siasa za Bukoba Mjini Kati ya Lwakatare na Kagasheki ilikuwa hatari sana ile ligi!

    Miaka imeenda Sana . Tumepoteza ladha katika siasa zetu , Pale Bukoba Mjini kulikuwepo VITA Kali Sana Kati ya Lwkatare na Kagasheki hii ilikuwa zaidi ya Simba na Yanga. Kura zilikuwa zikipigwa haijulikani nani atashindwa. Wote hawa wamekalishana Benji. Mmoja anaingia mmoja anaingia benchi.
  12. Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

    Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka. Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki. Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
  13. Ni aibu sana watu masikini wakaishia kuutupia matope na mambo ya kufikirika huu mti mzuri wenye kupendezesha mazingira

    Mara sijui mwanaume lazima afe, afirisike , wanandoa kugombana, blah blah. Sasa nashidwa kuelewa ina maana amba hawajapanda huu mti ndoa na uhai wao uko imara Tanzania nzima eti. Hukl ethiopia chimbuko lake wanaipenda sana na wala hakuna upuuzi kama huu uliopo bongo lala. Unakuuta mtu...
  14. Soka letu lina uhaba sana wa wachezaji wa kiarabu je shida ni nini?

    Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake, Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
  15. Leo mji wa Dar umechangamka sana. Wajumbe Mitano Tena.

    Uzi tayari. Ila wajumbe?! N'yadikwa
  16. Itakuwa ndoto sana

    Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
  17. Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  18. GE2025 Eric Shigongo: Nimekuwa na ubunge mgumu sana, sijawahi kufaidika

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa (CCM) anayemaliza muda wake na mtia nia wa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine, Eric Shigongo, amesema kipindi chake cha miaka mitano bungeni kimekuwa kigumu na hakujawahi kufurahia nafasi hiyo kutokana na changamoto nyingi alizokutana nazo. "Nimekuwa Mbunge...
  19. Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

    Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
  20. F

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima karibuni sana Kanisa Katoliki kusali tunawapenda sana hapa ndio nyumbani kwenu hasa, msiogope sanamu mnazoziona

    Sanamu zilizopo makanisani kwetu ni picha tu, ni kama zile zilizopo maofisini za Nyerere, Samia, n.k. kwani mnaziabudu? Hapana ni vielelezo tu na sisi hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuabudu sanamu! Tunajua kuwa Mungu ni Roho na anabudiwa katika Roho na Kweli. Sisi Wakatoliki kama Kanisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…