sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

    Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya. Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania ICC mbona wanachelewa sana?

    Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea? Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu hayajapoa maana ni juzi tu tumetoneshwa kidonda kwa kauli za kiburi cha hali ya juu.
  4. JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu

    Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu. Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo serious wakijitoa akili kwamba hatujui kuwa ni wapumbavu walio okotwa huko. Hawana elimu, hawana...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

    Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo. Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho. Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  10. JamiiForums Tanzania Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda: Mikopo ya Halmashauri inatolewa kwa kufahamiana, kama hamfahamiki mtasota sana

    Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi. Mkutano huo umefanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli gari aina ya Nissan zinasumbua sana injini zake?

    Wanaseme Nisan zote ni vimeo, ukweli upo wapi ndugu wa taalam wa magari. Nisan extrail wanasema zinanock engine. Nisan dualis wanasema zinaungua Nisan navala wanaseme zinasumbua geer box Yaani kila nisan inashida. Je,kunaukweli au ni habari za kufikirika
  14. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wamiliki wa lodge na hotels ni wagumu sana kufanya marekebisho ya biashara zao?

    Unakuta mtu kajenga lodge au hotel yake nzuri kabisa, ila sasa kufanya marekebisho au renovation inakuwa mtihani sana. Kuna mkoa nilienda mwaka 2022, nikafikia lodge X, ilikuwa nzuri kabisa ila vitanda na shower zake zilikuwa zishachoka. Nilirudi tena mwaka 2025 na nikakuta shower na vitanda...
  15. JamiiForums Tanzania Hili jambo linawezekanaje? Mhusika ameogopa sana anahitaji msaada

  16. JamiiForums Tanzania Wakatoliki mjiandae majaribu yataendelea sana

    Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo. Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda. Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku...
  17. JamiiForums Tanzania Huu Mwaka Umeanza vizuri. Hatari sana Hii inaombwa kuchakatwa yenyewe

    Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Poppy H, ni mtu mwenye bahati sana kutibiwa hospitali Ile na kutoka salama

    Salaam! Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu, Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache sana waliingia humo kutibiwa wakiwa hai, hawakurudi wakiwa hai,bali wamekufa. Pongezi zimwendee...
  19. JamiiForums Tanzania Njaa ni mbaya sana

    Njaa inawafanya watu kuwa machawa promax totally mtu akiwa chawa hua anaupungufu fulani wa kiakiri maana yeye huwaza pesa tu. Ninasikitika kwamba serikali hii ndio serikali ya mazwazwa kuliko serikali zote zilizowahi kupita watumishi wamegeukia uchawa hata taasisi za kidini nazo zimefanywa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania (KUMBUKIZI) Hili limeniuma sana: Marekani yatoa msaada wa MABOZA sita ya maji kwa Tanzania

    Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza maji. Hii inaiwezesha JWTZ kusambaza maji safi na salama kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana huduma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…