sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  2. JamiiForums Tanzania Hiki kitu no muhimu sana kwa maisha ya binadam

    Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii kazi ya kuwaongoza Watu wa Tanzania ni ngumu Sana hivyo Mama anaangushiwa Jumba bovu

    Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi . Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani. Lakini walipomfungia Haji Manara...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Enyi Viongozi: Kwa kutushurutisha mnatukosea sana, waajiri wenu ni sisi

    Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno. Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki? Kwingine mbona si hivyo? Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi? Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia sana

    Kama title inavyosema, nimekuwa nikiota niko shule na ni kipindi cha kumaliza. Kipindi cha mitihani. Sasa huwa najikuta sijasoma kabisa na mtihani ndio huo! Basi huwa naweweseka sana na kuwa na hofu. Wakati wengine wanajiandaa mi huwa sijui niko bize na nini. Mwisho wa siku huwa napata ahueni...
  6. JamiiForums Tanzania Mshahara unaongeza 8,000 halafu makato 9,000, una akili sana

  7. JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, wanawake waliteseka sana

    TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, WANAWAKE WALITESEKA SANA Anaandika, Robert Heriel Licha ya kuwa Mimi ni mfuasi mzuri wa mfumo dume lakini nachukizwa na tabia ya utesaji, unyanyasaji na uzalilishaji wa Wanawake. Mfumo Dume ni Amani, haki, upendo na heshima Kwa dunia yetu. Acha Wanawake wafanye...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati wanapambana kupeleka gesi ya Mtwara - Dar walisema umeme utakuwa wa uhakika

    Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi. Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei...
  9. JamiiForums Tanzania Uvivu na uchafu ni mapacha ambao ukiwakumbatia utaishi maisha ya ovyo ovyo sana

    Binadamu anapaswa kuwa msafi, hii ni moja ya tofauti kati yetu na wanyama ingawa wote ni jamii ya mamalia. Sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja ambacho ukifungua macho asubuhi unaangalia vyote unavyomiliki, inapaswa kujiongeza sana. Bila kujiongeza unakaribisha panya na mende ndani. Unakuta...
  10. JamiiForums Tanzania Jukumu la Elimu kwa watanzania ni kuwapitia ajira, Maarifa hayana umuhimu kwao ndio maana mwanachuo asipoajiriwa haoni faida ya elimu

    Jukumu kuu la elimu ni kumkomboa kifikra mtu na kumpa ujuzi muhimu lakini kinachofanyika hapa kwetu ni kuipa jukumu ambalo siyo lake la kuwatajirisha waipatayo kupitia ajira, mambo ya kukombolewa kifikra watu hawana mda nayo ndio maana ni kawaida sana kukuta hata mhitimu wa chuo hajawahi kusoma...
  11. JamiiForums Tanzania Tigo nitoleeni tangazo lenu haraka sana

    Niende kwenye mada. Kama Kuna muhusika wa kampuni ya tigo humu ndani anifikishie amri yangu kwa mtu anayeusika, kuwa sitaki kusikia tangazo lao la karibu dakika mzima wakati napiga simu. Yaani unatumia dakiki nzima kusikiliza vijielezo vyenu nikasajili simu wakati nimesha sajili? Mwisho wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ila baba nae anakaa mbali sana na mama yetu, mbona ma first lady huwa wanakuwa close!?

    Mama yetu Yuko poa sana Kwa Sasa . Mcheshi ,mpole na ana chapa kazi kweli kweli. ila Sasa baba yetu haijulikani kapotelea wapi. . Misafara kama hii ya ziara za mikoani ilitakiwa baba anakuwa closed na mama! Si mnaijua baridi ya njombe? au ni namna gani wajameni .! Mama anakwenda , congo ...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

    Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Makabila yatakayoendelea kutegemea elimu iwakomboe kiuchumi(ajira) yatashuka kimaendeleo

    Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza. zamani makabila...
  16. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Familia chanzo cha Yote

    UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla. Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya hovyo Taifa hilo ni la hovyo , halieleweki , halithamini, halihuishi ,halijali ,halitilii maanani...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi unatugawa sana -bora turudi kwenye uchifu

  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  20. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

    Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo? Ni uongo kwa sababu hizi Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC Kisha hizo fomu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…