Kwanini baadhi ya Wanyamwezi wanajisikia sana?

Mpigamimba

Senior Member
Nov 26, 2022
198
235
Salam maria.

Hawa wanajamii baadhi Yao wanajiona keki Sana. Sio mmoja au wawili watatu niliofanikiwa kukutana nao, hawana dharau bali hata kama ni kafupi unakuta kana jiamini kupindukia yaani mavimb yanasubiri. Hivi mnajiamini kitu gani.

Ni watu poa sana ila kujiona keki yaani kwake wewe unasubiri.

Watu wa Bukoba, Shinyanga mpaka Tabora kwenye hizi spishi Kwa nini mnajiona keki hivo.

Sina ubaya wowote na wanyamwezi lakini unajiamini Sana wajameni. Kama ni mwanaume wa kinyamwez atalamba mbususu zote zitakazojipitisha pitisha.

Wenzenu wasukuma wametulia tuli ninyi mmelishwa majani gani. Mnanata kimbuzmbuzi. Na ukikuta ameoa ...bas ameoa cheupe, wangeae wanapenda pis nyeupe za hatari
 
Mimi wananiudhi wanapenda kufanya vibarua tu vya kubeba mizigo hawataki kua maboss wanakazana kubeba mizigo.
 
Na utashangaa wanaume wa kinyamwez Sasa watao, wale shombeshombe, au watatoa wanyaturu weupe, Watoto wa kitanga weupe, huwatoi kwenye mbususu nyeupe
 
Ye magazeti ya Sanu Kuna jamaa anaitwa pimbi nahisi atakuwa mnyamwez mwenzao.

Kwanza pimbi alikuwa pis kazi zake za hatari kwenye we kafupiiii
 
😁😁😁😁 watu wafupi usiwachokoze siku zote uwatafutia watu sababu za kupewa kesi za mauaji
 
Watu wote ambao hawana kasoro yoyote vichwani mwao huwa ni kawaida yao kujisikia. Kwa hiyo ukikuta mtu hana kawaida ya kujisikia, ujue kichwani kuna shida fulani
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom