sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

    Nitataja mambo kadhaa 1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care 2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  3. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana Taasisi Nyeti kama CIA, FSB na MOSSAD Kuhongeka na kuwekwa Mfukoni mwa Matajiri. Je, hii ni kwa nchi zingine pia?

    Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

    Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania. Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpe Kabudi Wizara ya Mambo ya Nje awanyooshe mabeberu. Ondoa falsafa ya kufungua nchi

    Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nasumbuka sana wakuu mwenye kujua Tiba ya vidonda vya tumbo anijuze

    Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
  7. JamiiForums Tanzania Picha ya Harmonize akiwa uchi na kipichu inahuzunisha sana

    Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu. Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama nimeachwa na nimpendaye ni siri ya ndani. Niliapa kwamba nitamshauri Harmonize na kama utaamua kuchukua...
  8. JamiiForums Tanzania Kubadilisha mitaala yetu ya elimu vyuo vikuu ni kazi ngumu sana isiyowezekana

    Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la macho: kuwasha sana na kuuma unapotumia vifaa vyenye mwanga au juani

    .
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wazuri (handsome) wahuni sana hawajatulia

    Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari Ninyi nimewaachia watoto
  12. JamiiForums Tanzania Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

    Hizi video zilizopostiwa na Afande Sele. Aisee jamaa amechoka, siyo yule aliyesumbua na nguo zake nyekundu.
  13. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana Iran kufungwa na USA na kutolewa

    Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran. Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ombi maalum kwa wale tu wanaonipenda na kuvutiwa nami sana kiuwasilishaji wangu hapa JamiiForums

    Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE), nawaombeni acheni kunisifia huko ili kutowakera wanaonichukia. Badala yake muwe mnaanzisha tu threads...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii hadi chombo cha serikali (TBC) wanahamasisha kamali ya Upatu

    Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo. Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Hakika GENTA anaakili nyingi Sana

    Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
  17. JamiiForums Tanzania Utapeli wa SBF - FTX lilikuwa jukwaa la kutakatisha fedha haramu na utapeli kuptia mgongo wa cryptos

    1. Wakati FTX wanafanya fundraising, Sam Bankman Fried (SBF) alichukua yeye binafsi kiasi cha dollar za kimarekani milioni 300 kati ya 420.69 zilizokusanywa kutoka kwa wawekezaji. 2. Mwezi wa tatu mwaka huu, SBF alikutana na kufanya kikao cha siri na mwenyekiti wa Federal Reserve, Jerome Powell...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  19. JamiiForums Tanzania Kaniingiza hasara kubwa sana, leo ndiyo nimegundua nimeumia sana

    Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla. Alinipa angalizo hilo nisahau. Jumamosi tukalala kawaida nikiteseka sana. Jumapili pia, jana jioni homa ilinizidia nikaanza...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa madada zetu siku hizi kama wanakwesa makambo, nampigania sana dada asiachwe kwenye ndoa yake

    Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…