sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
  2. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu kali sana 128GB / 6GB RAM kwa 275,000 TU OFA!

    Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery in Dar es salaam
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  4. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kuweza kusaidia, asaidie hii jamii, kobe ni wasumbufu sana

    Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo. Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe. Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
  5. JamiiForums Tanzania Kama huna nyota ya mapenzi/mahusiano utateseka sana

    Kama huna nyota na wanawake na huna hela mapenzi yatakutesa sana, sababu kuna watu wana nyota na wanawake mara nyingi hawatumii nguvu kubwa sana kuwapata wanawake, nielewekwe wanakataliwa ila sio kama wale wanaume ambao hawana nyota kabisa Ukiwa na nyota plus una hela utakua mfano wa king...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

    Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani.. Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
  9. JamiiForums Tanzania DR. Mwaka amesoma CUBA hongera sana kaka

    wasomi wote wa Cuba tuonane hapa Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni salute kwa wasomi wa CUBA .
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar insurance mjitafakari sana, nimetokea kuwachukia mno!

    Moja kwa moja niende kwenye hoja kuu Na bila kupepesa maneno nalitaja kabisa shirika husika...ZANZIBAR INSURANCE ni zaidi ya wasumbusu Tena nadiriki kabisa kuwaita matapeli wakubwa msiojua thamani ya mteja wenu Sasa ni nini maana au faida ya kuikatia gari bima ya Comprehensive? Yaaan nipate...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Mwigulu kuwa makini sana kwenye mawasiliano

    Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu sana hasa Raisi Samia na Makamu wake. Makamu wake ambaye alikuwa waziri kama wewe na nafasi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu wa kike anakula sana mkaa

    Poleni na mihangaiko ndugu zanguni. Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa? Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa? Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kazi hii ya kuwaua, kuwafyeka na kuwatokomeza magaidi wa M23 ipewe JWTZ peke Yao

    SIKU mbili baada ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis kumaliza ziara yake Barani Afrika: katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sudan Kusini, wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wamekutana Bunjumbura kujadili Hali ya mambo DRC hususan Mashariki mwa nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi kama Shabiki wa Arsenal natamani Man City ashinde Kesi yake

    Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe. Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu, Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge.. Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje???? Man U...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Fedha za Plea-Bargain aulizwe Balozi Mbelwa Kairuki, anajua vizuri sana

    Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela...
  17. JamiiForums Tanzania Mke wa marehemu Atanasi wa ajali ya Korogwe amenihuzunisha sana

  18. JamiiForums Tanzania Rafiki anapokuwa tena si Rafiki, Anaumiza sana

    Rafiki yangu ana changamoto kidogo ya kazi. Ni muda. Nami nimekuwa kwenye changamoto hiyo kwa muda ila nikajiajiri na maisha yanaendelea. Kwa wale ambao tunajiajiri kuandika andika projects au kufanya kazi za watu kwa makubaliano huwa siku hazilingani. Siku zote si jumapili. Rafiki huyu (si...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu ====== Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…