sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tafiti: Ugumba kwa wanaume unakua kwa kasi sana

    Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge lingekuwa na akina Luhaga Mpina japo 50 tu, nchi ingepiga hatua kubwa sana

    Kinachotuponza sisi watanzania wengi ni unafiki na ukigeugeu Nashukuru Mpina toka awe mbunge ana msimamo usiobadilika. Huyu bwana anatimiza wajibu wa bunge kusimamia serikali. kwelikweli Sijaanza kumsikia leo toka Enzo Za JK huyu bwana Yupo straight hamung'unyi maneno. .Pamoja na Chuki na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Makundi 7 ya watu wanaoheshimiana sana Tanzania. Nini siri yake?

    Kuna makundi ya watu wakikutana mahali wanaheshimiana sana. Mimi nimeona makundi yafuatayo, je kuna siri gani? 1. Wachawi 2. Washirikina 3. Wanasiasa 4. Wanajeshi 5. Polisi 6. Wafanyabiashara wakubwa 7. Viongozi wa dini 8. Mateja 9. Madalali 10. Matapeli 11. Mafundi 12. Walevi
  5. J

    JamiiForums Tanzania WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  6. JamiiForums Tanzania Tumechoka kumuona Baleke akifunga sana tunamwomba na Musonda nae afunge mara kwa mara

    Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na anakimbiakimbia tu Uwanjani kama Mlevi wa Togwa huku yule tuliyemdharau (Baleke) akiwa anafunga tu Magoli na...
  7. JamiiForums Tanzania Ogopa sana watu, lakini karma is real

    Nianze kwa salam. Ninamsomesha mtoto wa dada shule moja ya gharama mjini. Day Ada ni ndefu kwa kweli, term moja 1.2 m hali ya maisha si njema kwa wengi wetu ni kujinyima tu watoto wapate kilicho bora. Iko hivi: Shule zinafungwa Juni huko Mhasibu kuvumilia siku 10 nimalizie laki iliyobaki...
  8. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Moja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana heshima, yuko smart sana. Lakini mtaani wenye sifa hizo wapo wengi, swali gumu kuelezea linabaki...
  9. JamiiForums Tanzania Tutafika mbinguni tumechoka sana. Huyu nae ni muimbaji wa Gospel huko Kenya

    Anaitwa Nica the queen Dhambi mpya zimeanza baada ya Bwana Yesu kusulubiwa msalabani
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  12. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Sura yangu ya Ukauzu isiwatishe Mimi ni Mtu Mpole, Mkarimu na mwenye Huruma sana

    "Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe. Kamanda...
  13. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Hatutaki Polisi Jamii ( Shirikishi ) wawe wanashinda Vituo vya Polisi kwani huwa Wanatuharibia sana

    "Kama kuna Kitu ambacho Jeshi la Polisi hatupendi na hatukipendi ni kuona/ kuwaona hawa Polisi Shirikishi (Polisi Jamii) Kutwa wanashinda Vituo vya Polisi. Kisheria na Kiutaratibu wao wanatakiwa wakae tu katika Ofisi za Serikali za Mitaa au za Watendaji na Polisi tukiwahitaji tutawaita ila...
  14. JamiiForums Tanzania Wanathamini sana saikolojia, tunakwama wapi?

    Ni Kenge tena, Uko duniani(Mataifa yalioendelea) wanazingatia sana wanasaikolojia. unakuta hata muokota uchafu mwisho wa mwezi anafanya appoitment kuonana na Mwanasaikolojia Baadhi ya Kazi ni lazima uwe na mwanasaikolojia MFANO; Bondia na Mke wa bondia Kwa mujibu wa sheria zao ni lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Nampenda sana Lady Jaydee. Sema ni kwa vile nilichelewa kufanikiwa

    Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa kweli Lady Jay Dee, kama ningekuwa na pesa kipindi kile ningekutafuta nikuoe kabisaaa, nikuweke ndani...
  16. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha sikukuu kimekua na ajali nyingi sana, Naomba tuwe makini barabarani.

    Naomba suala hili nilielekeze kwa wasafiri, wasafirishwa na wasimimizi wa miundombinu yoye ya usafiri, Ikiwezekana kupunguza hizi ajali dereva tax, bus, bodaboda wapimwe kiwango cha ulevi kama kitakua kimezidi kiwango basi wasiendelee na safari au kusitisha kabisa safari. Askari wamekua...
  17. JamiiForums Tanzania Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

    Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na...
  18. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mchele Maharagwe. Mafuta. Unga Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama. Hali mbaya wengine wakichota billions
  19. JamiiForums Tanzania Single mother bana, tabu tupu

    Samaleko... Hiki nacho ni moja ya visa vyangu kwenye harakati zangu za kumpata mtoto wa mama mkwe. Kuna ka binti nilikutana nako miezi kama mitatu iliyopita. Siku ya kwanza tu nakaona nilipokasalimia tu, kalinichangamkia sana. Kakaniambia "ni kama nakuonaga maeneo flan" na ni kweli ndio maeneo...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia magumu sana

    Wakuu kwa sasa hali imekuwa tofauti sana wanaotafuta wanawake wa kuoa wanapitia hali ngumu saana. Kwa sasa imekuwa ngumu kutofautisha wife material na kahaba😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…