sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanakera sana , wanachimba ovyo mitaro mtaani kutandaza mabomba yao pasipo ustaarabu

    Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa! Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani! Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka! Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania 2025 Tanzania tunatakiwa kufanya uamuzi wa busara sana

    Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa. Ukisikiliza bunge, ukiona...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii maendeleo ya technolojia yatachelewa sana

    Nchi nyingi za Africa tupo nyuma kitechnolojia kwa sababu kuu mbili. 1. Ukifanya jambo zuri kuhusu technology wanaishia kukusifia tu. Baada ya muda unasahaulika. Project nyingi tunaziona tunazisifia tunasahau. 2. Ukifanya jambo baya kuhusu technology unaishia kupewa kesi badala wakutumie wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake, sauti zetu zipo juu sana tunapogombezana na Wenzetu

    Ninaposema wenzetu Imean waume zetu, wachumba zetu au wapenzi wetu. Hatujui kujishusha na hatuwezi kuongea Kwa sauti ya chini, tunashindana. Sasa hizo kelele, yaani hizo kelele ndo zawapa wazimu hawa wanaume. Ndo utashangaa kofi au ngumi ya mdomo, meno chali au ya pua wese hiloo! Twende...
  8. JamiiForums Tanzania Patriot zitapigwa sana ifuatiwe na kimya kama cha Himars

    Wachambuzi wa kivita wa Marekani wamekiri kuwa mfumo wa Patriot pamoja na sifa zake kadhaa lakini si mfumo salama mbele ya jeshi la Urusi. Mtambo huo wa Patriot kimsingi umeundika na vitu sita katika ufanyaji kazi wake ambavyo ni generators, radar set, control station, antennas, launcher...
  9. JamiiForums Tanzania BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

    Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8. Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 20 na kuendelea tutakua na jamii ya hovyo sana na baadhi ya KOO hazitakuwepo.

    Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi. Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini madaraka ya rais yanalalamikiwa sana na nini kifanyike kwenye katiba ijayo?

    KWANINI MADARAKA YA RAIS YANALALAMIKIWA SANA NA NINI KIFANYIKE KWENYE KATIBA IJAYO? MJADALA KATIKA FORUM YA KATIBA YA WATU
  14. JamiiForums Tanzania Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Notes za secondary (pdf) bei nafuu sana

    Tunakupa Notes za secondary zilizo katika format ya PDF kwa bei nafuu sana. 1. Notes tumeziandaa wenyewe. 2. Tumezingatia syllabus katika kuziandaa kwa hiyo Topic zote zipo. 3. Kwa upande wa Geography na Biology michoro, diagram na picha zote zipo kukufanya uelewe kirahisi sana masomo hayo. 4...
  16. JamiiForums Tanzania Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

    Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote. Russia launched a new wave of air...
  17. JamiiForums Tanzania Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  18. JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  19. JamiiForums Tanzania Ulifanya mambo gani zamani ambayo ukikumbuka unajiona mjinga?

    Niaje niaje, Wadau tukumbushane enzi hizo na matukio yetu ambayo ukiwaza sasa hivi unajiona mshamba fulani hivi. ~ Nakumbuka nilitoa hela ndefu ili niungwe Facebook, nikiwaza nataman niende Internet Cafe nikamchape yule dada vibao. ~ Shati yangu ya shule bila kutia blue nilihisi...
  20. JamiiForums Tanzania Dada zangu, mtatoboa kweli?

    Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' . Huko mbeleni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…