The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea.
Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa.
Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
Baada ya haya kutokea nimegundua CCM na genge lake hakuna kitu
wananchi tungesema tuwashambulie si dhani kama kuna yeyote ambaye angepona ila walitukana maskini sisi hatuna chochote cha kujisaidia nacho basi acha tuwaite mashujaa ila Next time watakufa wengi sana
Hakika nimechukia huyu mtu vibaya sana na hakuna zuri wala jema analoweza fanya likafuta majeraha au uovu wake katika katika kichwa changu na kamwe siwezi kumsamehe..Nimemchukia sana.
Pia, nimewachukia sana wale wavaa sare wanaotumika na huyu mtu na sitaki urafiki kabisa na hawa watu kwani...
Wakuu,
Yani katika vitu Magufuli alitukosea sana kama watanzania ni kuua upinzani kitu ambacho kinafanywa kwa muendelezo mpaka sasa.
Kitu kingine ni kumteua Samuya kama makamu wake asee hapa alitukosea mnooo.
Alikua Rais mzuri aliyependwa na kila mtu lakini katika uchaguzi mkuu wa 2020...
Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo.
Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi.
Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana.
Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza.
Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji.
Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.
Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia.
Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
01 November 2025
SIKU YA 4 : MAANDAMANO
UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE
https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ
WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu.
Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
Taarifa zinasema , watu zaidi ya 700 wamekwisha kupoteza maisha..Jeshi Gani linaruhusu mipaka yake inavamiwa, Askari wa kigeni wanaingia na kuua raia wanaotekeleza wajibu wao wa kikatiba..! Kama ni hivi basi CDF hafai
Nipo Hospital ya Muhimbili hapa tangu tarehe 29 October , nimeshuhudia magari yakisomba maiti nyingi mno.
Siku ya leo kwa mfano nimeshuhudia magari zaidi ya sita yamejazwa miili ya ndugu zetu waliouawa.
Baada ya kuona kama watu wanahesabu idadi ya magari hayo wakabadili njia , mengine...
Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi
Kusababisha watu kufa kwa ajili yako kwa uzembe ni kosa kubwa sana, atajikuta maisha yake yote anaishi ndani ya...
Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana.
Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham.
Sura yake ilionesha innocence sana.
Lakini badala ya kutufariji...
Naona huko Instagram GEN Z wanadai kama watafosi arudi huyuhuyu kizimkazi basi nao watakuja na #MO29SEASON2 wanasema hiyo itakua mbaya sanaa.
Chukueni hatua huyo mtu hatakiwi.
KITUKO 👇👇👇👇
Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo.
Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Kitendo cha jeshi kuwalinda waandamanaji kimelipatia jeshi heshima ya kiwango cha juu sana. Nina hakika, kitendo hiki kitawafanya Gen Z watamani hata kujiunga na jeshi letu. Hakika jeshi ni taasis ya kizalendo. Kongole makamanda wetu.
Leo hata nikiambiwa inatakiwa kodi % flani ya kuwalipa...
1. Uchaguzi haujafanyika hata kituo kimoja kwenye mtaa na kata yangu
2.Wasimamizi wote wa uchaguzi nilidhibiti pekee yangu baadaye nilipata sapoti
3. Tuliwakimbiza polisi na kumjeruhi mmoja
4. Tuliblock barabara zote
TUONANE KESHO ASUBUHI
watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana.
Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali.
niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm...