sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  2. JamiiForums Tanzania Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

    Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu. Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishi kwa kula matunda na mbogamboga pekee kila siku?

    Wakuu habarini I hope wote ni wazima wa afya. Wakuu naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu kuishi kwa kula matunda na mbogamboga as normal diet? Nauliza hivi kwa sababu I have diagnosed kuwa damu yangu ni chafu, ina bacteria wengi sana, pia figo yangu ya kulia imevimba. Hivyo nahitaji kuhuisha...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Huyu dada anayejiuza barabarani nilimwonea huruma sana

    Kwanza nianze kusema kuwa kwenye tasnia ya kununua makahaba nina uzoefu wa miaka 7+ ila nlichokiona kwa huyu dada Juzi kilinipa huzuni rohoni.. Juzi kati nlifika maeneo ya wadada wanaojiuza barabarani, kwenda kusuuza rungu, nkamchukua mdada mmoja tumefika chumbani, tukafanya yetu tukamaliza...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuhakiki ikiwa gari Iina deni la Polisi kabla ya kununua

    Hiyo itaepusha usumbufu wa kununua gari kisha kukuta Lina madeni mengi. Madeni ya Parking na ya faini za Polisi.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

    It’s 2023 , we have not progress kabisa In infrastructures . Leo kutoka Dodoma Dar ni shida. No buses no nothing . Yani natumia 12 hrs kwa bus . Kweli ? When. Will people work . Serikali hii vipi ? Wana fanya nini sasa? Au wengine Huko kuna kitu wanafanya? Maji shida? umeme shida? Usafiri...
  9. JamiiForums Tanzania Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna watu wakipata hela huwa wanahangaika sana

    imagine hii ni choo Peshizi jamani a
  12. JamiiForums Tanzania Siku ikatokea nikawa Rais wa nchi nitahakikisha haya yanatokea. Weka yako pia tuchuane kuipa nchi mawazo chanya

    Pita yote usiachie nusu tafadhali 100. Kutoa motisha kwa vijana kwa kila namna inayowezekana kupenda mambo ya msingi. Hii itawezesha kuwafanya wapende kujihusisha na ubunifu, uzalendo, kujitegemea, kutoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Sio kama hali ilivyo sasa wengi wao wanatamani na kujitahidi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanigeria na Wahindi wamefanikiwa sana kutambulisha utaifa wao kupitia mavazi

    Indian Prime Minister Narendra Modi shakes hands with Nigeria President Bola Ahmed Tinubu upon his arrival Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili. Hivi imeshindikana...
  14. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanawake kuibiwa hela imeshamiri sana!

    Ni majanga. Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto! Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

    Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
  16. JamiiForums Tanzania Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya

    Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake. Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX. Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu" Kwahiyo sasa....usitegemee eti mwanaume...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Namkubali sana Luhaga Mpina kwa hoja anazotoa Bungeni. Apinga sheria ya kununua vitu used

    Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho. Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi...
  18. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kuiuza Palestina kwa thamani rahisi sana

    Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel. Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka yote hiyo tangu kuundwa kwa taifa la Israel mnamo mwaka 1948.Hii imetokana na tawala zote za Saudi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Roho inauma sana

    Wakuu kesho Ilikuwa nianze safari ya kwenda German kwenye tour ya kimasomo, baada ya kukidhi vigezo vyote jamaa wakasema tutupeme bio data of password, bahati mbaya mimi hata passport Sina aisee wenzangu wakatuma kesho wanaanza safari. Tour hii ipo sponsored na chuo chetu apa jijini dar na chuo...
  20. JamiiForums Tanzania Mpira wetu vituko sana, sasa tunashindana nani kajaza mabasi mangapi?

    Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣 Hivi ni nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…