sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyota yake ya kisiasa iliyong'ara sana mwanzoni, imefifia mno kwa sasa kwenye medani

    Ni kijana alieibuka na kung'ara mno katika medani za siasa za Tanzania. alichomoza katika awamu ya4 chini ya Rais wa wakati huo JK. Kwa hakika binafsi niliwahi kuchunguza na mpaka wa leo, sijabaini, sijaona wala sijafahamu, ni nini hasa kiliwavutia sana wananchi ikiwa ni pamoja na mimi mwenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Tukague vyakula wanavyolishwa watoto shuleni, hali niliyoiona ni mbaya sana!

    Vyakula wanavyopikiwa wanafunzi na vikundi fulani vyenye mafungamano na walimu wa shule sio salama kabisa! Tunaambiwa watoto kila siku watoe 1000 ya chakula, kwa mfano shule moja Chanika inawanafunzi 1800, wanafunzi 1500 wanakula shule na wengine wanaingia mchana. Kwa mantiki hiyo kila siku...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

    Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
  4. JamiiForums Tanzania Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na waandishi wa Sheria Tanzania (Draftsmen)

    Hivi wasomi wa miaka hii mnasomeaga shule Gani.?Au shida ni hizi English medium zinaboronga elimu yetu. Yaani Kiingereza hatujui.. Kiswahili hatua! Wakuu naomba msome wenyewe kiambata hiki.
  6. JamiiForums Tanzania Waafrika tunabaguliwa sana. Tupende vya kwetu. Mtoto huyu ilivyonyanyapaliwa

    Mtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica. Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. .. huko nje hatupendwi hata kidogo
  7. JamiiForums Tanzania Namshukuru sana Mungu hakika yeye ni Mungu

    Ndugu wana jukwaa, kipekee kabisa Mungu ni Mkuu anatenda makuu Kwa ajili yetu, nakiri Mungu anatendea vema sana, naichukua fursa kuendelea kumuishi Mungu katika mwili, nafsi na roho. Kila siku niwe sehemu ya kumtumikia kwa kuwa na mtenda mema kwa watu nisiye na wivu, chuki wala husuda, niwe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibiwa sana na utawala wa awamu hii

    Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania...
  9. JamiiForums Tanzania Nimekuwa mpweke sana, sina rafiki wa karibu. Je, kuna madhara kuishi hivi?

    Habari? Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja. Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi. Ratiba yangu ni kazini- nyumbani, nyumbani- kazini. Ila muda mwingi niko nyumbani. Napiga stori na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnatutesa sana barabara ya Mbezi High School kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe

    Hii barabara ni kero sana tena sana. Mbunge wetu anaishia kutupanga kila mara. Hii barabara isipotengenezwa mpaka 2025 tutaona hakuna tofauti kati ya mbunge huyu aliyepo na yule aliyekuwepo. Haiwezekani barabara ikawa mbovu kiasi hiki wakati huo sisi tuna mwakilishi. Mzee Magufuli (RIP)...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vinakwaza ila ndio uhalisia wenyewe

    Kuna mzee nilikuwatana nae kazini na diye aliyenifanyia mpango mpaka napata ajira (namshukuru kwenye hili alikuwa njia nzuri katika utafutaji wangu). Nni mtu mcheshi sana na anapenda sana kuongea, na isitoshe kipindi hicho alikuwa njia kusaidia vijana wengi kupata ajira. Basi bwana shida ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mhagama: limeni sana mahindi ili muweze kuongeza wake wengine!

    Akizungumza na wakazi wa baadhi ya vijiji mkoani Ruvuma, bi Jenista amesema mahindi Kwa sasa ni zao la biashara linalowapatia wananchi fedha nyingi. Maana mahindi Kwa sasa si zao la chakula pekeee kama walivyozoea zamani, bali pia ni zao la biashara hivyo wanapaswa kulima Kwa wingi ili...
  14. JamiiForums Tanzania Itachukua muda mrefu sana kwa walimu kuweza kujisimamia na huenda isitokee kabisa!

    Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake. Wanadhani wao watakuwa salama? Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu. Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni bahati mbaya sana kwamba tunaongozwa na wanasiasa

    Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo. Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana. Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni halichukui mtu wa hovyo kuongoza alimradi tu eti anaweza kupiga kabobo. Nchi, Taifa, Taasisi nyeti kabisa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya hakika Wachina wana damu kali sana

    Wasalaam... Ni muda sasa nafanya utafiti (siyo rasmi) kuhusu muingiliano wa kimahusiano kati ya Wachina 🤔🤔 na watu wa mataifa mengine, Hapa nazungumzia wa - Europe (Wazungu), wamarekani (Americans) na Waafrika pale wanapoanzisha uhusiano na kufanikiwa kupata mtoto basi huyo mtoto 98% atakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

    Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate. Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision. Halafu inatokea ghafla...
  20. JamiiForums Tanzania Kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara ni matumizi mabaya sana ya akili kwa Ma HR wengi nchini.

    Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili. Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?. Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…