sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo mtatema sana Nyongo zenu juu ya Kipa wenu Djigui Diara na bado......!!

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi kisarawe wanaisahau sana barabara ya Kiluvya Madukani-Makurunge

    Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni. Shida kuu: 1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa mfinyanzi. Wakati wa mvua inakuwa na mashimo na inateleza sana. Magari yanakwama. 2. Ufumbuzi wa muda...
  3. JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu sasa nimekonda sana. Wanangu ni chanzo

    Habari ni gani wakuu zangu? mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea... napo wanakaa siku mbili au tatu halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao. safari hii nikaona...
  4. JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  5. C

    JamiiForums Tanzania katika kupitapita sikumoja nilikutana na maswali kadhaa ambayo yalinifikirisha sana... niliamua kuyafanyia utafiti wa kina

    kazi zetu hizi zinatufanya tuwaze sana na pia kusoma mawazo ya wengine sana sana ili kujenga parten fulani... katika baadhi ya paradox nilizowahi kuzifanyia utafiti wa kina ni pamoja na hizi mbili: moja ina hoji kwamba je mimi nikiwa nina meli yangu nimeinunua. kisha baada ya miaka kadhaa...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Safari ya Trump yaonyesha Marekani inaihitaji sana China

    Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping. Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda China, haijawahi kutokea. This is absolutely insane. Elon Musk, Tesla and SpaceX CEO Jensen Huang...
  7. JamiiForums Tanzania Kuzuia yaliyotokea ni sawa na kuzuia mkojo, kazi ambayo ni ngumu sana lakini mwisho wake mkojo utatakiwa kutoka nje kwasababu ulishaingia

    Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka. Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake. Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala. Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha ya ubachela ni mazuri sana na yenye furaha.

    😀
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wana uhusiano mkubwa sana na dinosaur

    Angalia wanavyofanana sana, Katika kutoa insight ya makala ninayoandaa kuhusiana na kuku nitagusia hili swala ambalo limeshafanyiwa uchunguzi na wanasayasi wengine. Ukimuona kuku ujue umemuona T.Rex mdogo Kwa kuthibitisha hili licha ya mfanano wao wa muonekano, chunguza tabia zakuku, Kuku ni...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera sana mkuu wa shule ya sekondari Dkt. Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari halmashauri ya Bunda-mji

    Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini. Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO 25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza

    25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari jambo inaumiza sana na ukizingatia kutokana na uhaba wa ajira vijana wengi tumeamua kujiajiri lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna laana mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana

    Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
  14. JamiiForums Tanzania First impression inaamua mambo mengi sana either ukubalike au upuuzwe.

    Unakuta mtu kwenye issue za sports anavaa KANZU na koti la suti. lazima uonekane miyeyusho tu Maintain positive first impression itakusaidia sana vaa Smart popote pale unapokwenda.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  16. JamiiForums Tanzania No matter what Privacy ni muhimu sana hata wakati wa pillow talk kuwa makini

    Privacy ni muhimu sana kwenye maisha. #privacy is key.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama mzee Joseph Sinde Warioba anafanyiwa ushenzi huu wa vitisho, Je sisi kwangu kukavu weka mchuzi lazima tufe sana as it is today!

    Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo vya 29 October, 2025 vitakuwa in terms of millions! All in all washauri wa mama ndio wanamshauri vibaya
  18. JamiiForums Tanzania Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

    Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
  19. JamiiForums Tanzania Vita vikianza tunashangalia, Madhara yake yakianza vilio kila kona, What goes around comes around, Tusali sana

    Kipindi vita vya iran vinaanza tulishangilia sana, niliamini, sisi hatuhusiki, kumbe ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji. Ona sasa achana na bei ya mafuta kupanda, Kuna hii timua timua makazini, acha tu, bado bidha kupanda na kazi imesimimama, polepole mtafikiwa, nyie chekeni.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…