sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa Sio Comedians ila wakiongea mbele ya watu lazima tucheke sana

    Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu. 1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere 2. T.I.D 3. RC Chalamila 4. RC mstaafu Aggrey Mwanri 5. Ommy Dimpoz 6. Mheshimiwa Kishimba 7. Babalevo 8. Mheshimiwa Kibajaji...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Yamenikuta! Starehe mbaya sana...

    Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa mama muuza mihogo Ili anipe ya buku nipige countar attack mbaka night kasema wewe mtoto shika adabu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jana taifa limepoteza nafsi ya thamani sana

    Mzuka wanajamvi. Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty. Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika nakuchukua likizo ya siku moja kumuomboleza dem huyu mkali mjasiramali japo simjui wala hanijui. Kifo...
  7. JamiiForums Tanzania RC Makonda anawatesa sana wapinzani wake

    Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako. Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka vyama vya upinzani wako ndani ya nyumba, kwa jinsi unavyopenya na kujibu shida za wale unaowaongoza...
  8. JamiiForums Tanzania Dalili 10 kwamba una hisia sana

    1. Huwezi tu kusema 'hapana' kwa mtu yeyote bila kujisikia hatia. Unajali sana na unapenda kupita kiasi. 2.Unalia ukiwa peke yako lakini haumwambii mtu kwa sababu unaogopa watu watakufikiriaje. 3. Una haraka kufikiri kwamba kila mtu ni rafiki. Unafanya mambo kwa kila mtu wa muda katika...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi imekuwa ni kero sana

    Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila...
  11. JamiiForums Tanzania Jeuri ya nini na sote tupo chini ya jua, ubabe wa nini wakati na wewe pia umezaliwa kijana? Chunga sana

    Maisha ni safari, Heshima na upendo ni vitu muhimu katika safari hii ya maisha.
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hili ni ubinafsi uliopitiliza au tuitaje? Lipo sana kwa wachungaji na wanasiasa

    Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu . Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chama, Kibu na Mickson kama wako vizuri wacheze vs KMC, gemu ni ngumu sana hiyo viongozi wa Simba

    Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
  14. JamiiForums Tanzania Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

    Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  16. JamiiForums Tanzania Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo 15 ya msingi sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri

    MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI Thread 🧵 👏 1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo). 2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  19. JamiiForums Tanzania Najishangaa sana

    Wakuu, sometimes nahisi najikosea Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha. Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia Nyumba yangu,mfano juzi kati nilibamba mil 3.5 ,chap nikaweka tiles kwenye Nyumba yangu,wakati...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mnanitenga sana wakuu

    Acheni kunitenga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…