sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L. Ukijaza...
  2. JamiiForums Tanzania Napenda sana wanawake wa kikatoliki

    Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl. Nmemaliza.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wangu anajiona mzuri sana halafu kumbe wa kawaida

    Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe live ajue kua na aache kuniletea maringo
  7. JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wananchi wote kwa kuiunga mkono serikali ya awamu ya 6 kwa hamasa sana

    Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya kiongozi makini na madhubuti sana comrade dr.Samia suluhu hassan. Kipitia bunge letu tukufu hapa makao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi uniskize

    Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi Tuliza moyo Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea...
  9. JamiiForums Tanzania Nimewamiss watu wangu wa nguvu

    Mko salama wapendwa? imekuwa kitambo sana jamani leo nikasema nimepata kaupenyo kidogo wacha niwajulie hali😉😉 Nimewakumbuka sana marafiki wangu wa JF😍 Nikipata tena upenyo nitakuja kuleta uzi wa kutafuta mume💃💃💃 Kisses and hugs from this side to yours, wakuu🥰
  10. JamiiForums Tanzania Mayele: Yanga wanajali sana maslahi yao kuliko ya mchezaji, nikirudi watanipokea tu

    Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri. “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Yanga mashabiki watanipokea...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya Hamis Kichwa yanasikitisha sana baada ya kustaafu kazi ya Polisi

    Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote. Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe. Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
  13. JamiiForums Tanzania Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode

    Mchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa watoto watatu ndani ya ndoa! Timu kataa ndoa wanazidi kuchukua point tatu!
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye safari ya mafanikio ukishajua nyota yako inaandamwa jitahidi sana kudhibiti mhemko (emotion)

    Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Chama kubaki Simba ni dalili mbaya

    Chama is an amazing player no doubt. but he doesn't give everything to the team. to let a foreign player act like a coward and still keep him at any cost, simba has disciple issues. #These foreigners come to our league to improve our players. the moment he act like, he is bigger than the...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

    Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini Yesu alizungumzia sana Pesa/ Mali/ Uchumi kuliko maombi

    Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani. Zipo sababu nyingi, ila hii ni moja ya muhimu sana. Umasikini ni utumwa. Mwenye mali atatumikiwa na wasionacho. Hii ni kanuni. Yesu...
  18. JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

    nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti. nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata, je ni sahihi...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

    Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data. Tuachane na iPhone...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

    Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi Lupapa Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…