sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna trend mpya hapa mjini toka 2022 ila kwa sasa inakua kwa kasi sana, yaani karibu kila dem pisikali ana dem wake wa kiarabu

    Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana. Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili swala toka nikiwa Morogoro, na baadae kwenye kona mbalimbali za dar. Mifano ipo mingi sana, siwezi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Msamaha wa kutoshtakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume cha sheria walioanza kusalimisha silaha kuanzia Sept 1 - Okt 31

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia. Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Wapishi wa Keki za Shughuli Kuweni wasafi, Hizo picha za snapchat zinadanganya sana wateja wenu

    Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive. Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
  4. JamiiForums Tanzania Mnisamehe sana Nilikuwa Nakosea sana Mwanamke kuwa na Chuchu Dodo bila Nyashi haina vibes za kudumu kwenye Mtanange

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi nimekuwa muumini sana wa kipaumbele cha chuchu Dodo, ila kwa hakika naomba nikiri niombe radhi nilikuwa nimepotea kimtizamo na kivigezo , Nyashi Ina mchango mkubwa sana kwenye mvuto na hisia za mizagamuo. Sitaki niwachoshe itoshe kusema hivyo ntaendelea na...
  5. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  6. JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda mnafki sana

    Hiki ndicho alichopost katika page yake ya twitter
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

    Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope Ikikutokea hiili nendeni mkakemeee mkaombe tobacco na rehema kuna rohoo mmetupiwaa Msisahauu kutoa sadaka kwa ajili yahayo maombi...
  8. JamiiForums Tanzania Benki kuu kununua madini, kama ni kweli asee hongera sana kufanya hivyo

    Chekini wenyewe
  9. JamiiForums Tanzania Mbona pesa imekuwa ngumu sana, Mbona kila mtu analalamika, Kwani shida iko wapi?

    Hakuna salamu Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster. Mbona...
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

    Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama. Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi. Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto...
  11. JamiiForums Tanzania Waliobaka wamefungwa maisha, je aliewatuma nini kinaendelea. Haki ngumu sana!

    Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka Vipi aliewatyma?? Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi Nawaza tu kama aliewatuma watuwake wameenda maisha Usalama wa yule dada ukoje??
  12. JamiiForums Tanzania Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana

    Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana, mkikosana siku ya kesi uwanja mzima unajaa magari ya nyumbani kwao, alafu ukute kuna ndugu zake wengine wapo Nje ya nchi wanafatilia kesi Online, wanatishia kama umeshindwa kulea mtoto wetu tuletee huku Australia tutamlea wenyewe🥱🥱
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
  14. JamiiForums Tanzania Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

    Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Umalaya ni mbaya sana! Ewe mwanaume mwenye familia, itunze

    Hiki kisa kimenisikitisha sana. Kuna jamaa yangu na rafiki yangu kitambo toka 1980's kule Morogoro na tulianza biashara naye za kuuza/kuchukua Sigara kwenye treni kipindi hiko. Mambo yakatunyookea tukaanza kufanya biashara za Mahindi kwenye mikoa ya Songea na Morogoro. Mwaka 1997 jamaa...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni sababu kubwa isiyotajwa sana inayochangia Wabongo kutoweza kurithisha utajiri kwa vizazi vyao

    Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo. Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

    Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…