sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hata BOT wameweka ukomo wa miaka 10 kwa ma CEO wa mabenki, miaka 20 kwa Mbowe kuongoza chama ni mingi sana.

    Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lisu ni adimu sana Dunia.

    Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala wakajikataa Hebu msomeni Martin Luther na hata kina Che Guevara Watawala na wabadhirifu...
  3. JamiiForums Tanzania CROWN MEDIA IMEBADILIKA SANA

    Hii media ilivyoanzishwa tuliona kama ni mkombozi kwenye Tasnia hii kwa kutoa habari za ukweli na uhakika lakini ghafla imekuwa ndivyo sivyo... Toka imeingia ubia na AZAM MEDIA imebadilika sana maana tangu walivyoreport tukio la MAANDAMANO ya CDM imepoa sana... Wamepunguza kureport Taarifa za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zidumu fikra za Mwenyekiti(FAM)

    1. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo mwenyewe akili kuliko wote ndani ya chama? 2. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba bila FAM chama kimekufa? 3. Inawezekanaje CHADEMA waamini kwamba FAM ndo Mwamba na hakuna mwingine zaidi yake ndani ya chama? 4. Inawezekanaje CHADEMA wamwamini...
  5. JamiiForums Tanzania Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

    Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile. Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakili Tundu Lissu anaiogopa sana Mahakama?

    Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana, kuwa kwa mujibu wa Katiba yetu, mahakama ndio mhimili uliopewa mamlaka ya kusimamia na kutoa haki...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakati wa mpito huu ni mbaya sana kwangu kiakili

    Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu. Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu. Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana. Naona Sina marafiki...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au...
  9. JamiiForums Tanzania Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa.

    Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa, kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo watu wake hawarogani sana

    Great thinkers. África Kwa uchawi tunatisha. Inasemekana 90% ya waafrica wanaaami katika uchawi na huwa wanaenda Kwa waganga mambo yakienda kombo. Mikoa ifuatayo nahisi Hakuna wachawi wengi hapa Tanzania. 1. Dar 2. Mara 3. Dodoma 4.Kagera 5. Manyara 6.Arusha 7. Singida. Kwa uelewa Wangu hii...
  11. JamiiForums Tanzania Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  12. JamiiForums Tanzania KERO Mbeya: Vyoo vya Uwanja wa Sokoine ni vichafu sana, wahusika hamjali afya za Wateja wenu

    Waungwana hivi ni viwanja vyote ambavyo vina changamoto ya vyoo au ni Sokoine Stadium tu hapa Mbeya. Maana huu uwanja vyoo vyake ni changamoto kubwa, ni vichafu balaa na hakuna maji kabisa. Wamiliki wa uwanja embu jitahidini basi kurekebisha vyoo kama mnavyo pambana kurekebisha sehemu ya...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Waarabu ni watu wa ajabu sana. Kumbe Assad alikuwa ni wakala wa Mossad

    Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa mashambulizi ya Israeli dhidi ya mali ya kijeshi ya Syria baada ya kuanguka kwa Assad, inaonekana Israeli...
  14. JamiiForums Tanzania NAKICHUKIA SANA KIFO😭

    Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha kupambana na ccm wanachofanya n kupambania ruzuku itawatafuna sana

    Nimeona SEHEMU ati Fujo za chadema zitansaidia MH SAMIA kupitia kiurahisi Kwa kifupi hakuna chama cha kupambana na ccm wapendwa Kwa sasa wanachofanya n kupambania ruzuku tu YAAN ukisikia HATA wale wanajiita wenyeviti sijui wanataka mtu flan awexe kukomaa kupambana na ccm walee n wahunii...
  16. JamiiForums Tanzania Movies mpya kali sana!!

    Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi. Aksanteni nyote!!
  17. JamiiForums Tanzania Tuiombee sana CHADEMA

    Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa! Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear. Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

    Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti. Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama. Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
  19. JamiiForums Tanzania Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

    Hii kitu imenishangaza sana kwa Hawa Viumbe. Mshikaji ana muhudumia Demu kwa Kila Kitu, jioni anamfuata Kazini, na asubuhi anampeka Kazini (Privet Car). Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi yule Bwana hata Sina hisia nae" mi nikajiongeza kumsemesha mambo ya mapenzi kajaa nimemvua chup...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Leo CCM watalala usingizi mnono sana kwani wanayemmudu amechukua fomu ya kugombea.

    CCM hakuna mtu anawanyima usingizi kama Lissu. Hata siku ile Lissu anachukua fomu CCM walipata taabu sana. Wanamjua Lissu kuwa si mwepesi wa kukubali ujinga kwa lugha yoyote ile. Wakati ule maridhiano yakiendelea, Lissu aling'amua mapema kuwa kinachoendelea kwenye maridhiano ni danganya toto tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…