sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanasiasa watz wana uwezo mdogo sana huwa nashangaa mnapowakuza na kukubali wawe ndo decision makers wenu!

    Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero...
  2. JamiiForums Tanzania Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri 1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania Sasa Abduli alienda kama...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

    Moja ya mambo huwa siyapendi kutoka Kwa wabantu black women ni uchoyo na roho mbaya na njaa ya chakula. Mimi huwa naonaga black women walipewa maumbo mazuri Ila akili 0% Mfano tangu nikae nao hawa black women ukimuhalika kwako akiona misosi anatoa macho Sana akiona umegawa chakula umewapa...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha ya uadilifu ni magumu sana. Sasa hapa sijui nitasaidika vipi kwa hiki kipindi

    Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa. Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
  6. JamiiForums Tanzania Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  7. JamiiForums Tanzania Azam Ongezeni watu wanaotafsiri kazi za Sana za nje.

    Lengo lenu ni zuri sana, lakini kitendo cha kazi nyingi za sanaa kutoka nje ya Tanzania zinazotafsiriwa kwa kiswahili kuwa na sauti zile zile kwa kazi tofauti tofauti, siyo sawa. Itapendeza kama mtaweza kuwa na watia sauti tofauti wengi kuliko Kila kazi ya sanaa kutumia sauti zile zile za watia...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Waga tunasema waarabu ni watu wabaya sana na tena wanafiki wakubwa wanaotumia dini kama kichaka cha kujifichia.

    "Nilibakwa na majambazi wa Assad - lakini siogopi tena kuonyesha uso wangu". **************************************** https://www.bbc.com/news/articles/c89xgdyk597o
  9. JamiiForums Tanzania Yericko ogopa sana teknolojia. Njoo ujisahihishe hapa

    Yericko Nyerere Pitia hapa ujifunze kuwa mkweli. Kisha soma na hii hapa Kukemea uovu kunakofanywa na Lisu ni kutoa siri za chama? Hebu tueleze hapa umekuwa na ushirika na mfumo kwa muda gani sasa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

    Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa. Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake hakikubaliki mahali popote pale na kwa chama chochote kile atakacho kwenda. Tena kama kwenye chama changu...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu katusaidia sana kuwajua mamluki

    Kuna Id humu zilikuwa zinaaminika kwa kipindi kirefu sana kama id za watu makini ambao ni wana mageuzi ya kweli. Id hizi zilijitanabaisha kuwa watu ambao ni wana mageuzi kweli ambao kamwe usingefikiri kuwa ni watu walio kimakakati. Sakata la Lissu kuibua maovu yanayofanywa na wanasiasa...
  13. JamiiForums Tanzania USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    ...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"...... Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini. Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mnaogopa nini kumfukuza uanachama Lissu?

    Mimi sio mwanachama wenu ila nimesikia kuwa kavunja Katiba ya chama chenu kule X lakini mpo kimya? are u selective?
  16. JamiiForums Tanzania Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  17. JamiiForums Tanzania Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

    Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
  18. JamiiForums Tanzania Hata BOT wameweka ukomo wa miaka 10 kwa ma CEO wa mabenki, miaka 20 kwa Mbowe kuongoza chama ni mingi sana.

    Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Watu kama Tundu Lisu ni adimu sana Dunia.

    Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala wakajikataa Hebu msomeni Martin Luther na hata kina Che Guevara Watawala na wabadhirifu...
  20. JamiiForums Tanzania CROWN MEDIA IMEBADILIKA SANA

    Hii media ilivyoanzishwa tuliona kama ni mkombozi kwenye Tasnia hii kwa kutoa habari za ukweli na uhakika lakini ghafla imekuwa ndivyo sivyo... Toka imeingia ubia na AZAM MEDIA imebadilika sana maana tangu walivyoreport tukio la MAANDAMANO ya CDM imepoa sana... Wamepunguza kureport Taarifa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…