sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Usimshauri ndugu au rafiki asomee uandishi wa habari: ni sekta ambayo inaenda kufa na atateseka sana

    Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa 300,000?!! Kama Azam waandishi mikoani wanalipwa 300,000 basi ITV hali ikoje? Je, hizi media ndogondogo...
  2. Y

    Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

    Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038
  3. Muogope sana mwanamke, ishi nae kwa akili usiteketee!!

    Kuna Cha kujifunza hapa
  4. Acha kuwa na wasiwasi sana kuhusu yaliyotokea nyuma au yanayo kuja mbeleni

    Acha kuwa na wasi wasi sana na mambo yaliyotokea huko nyuma katika maisha yako au ambayo yanayo kuja huko mbeleni Usiyape kipaumbele na vuta pumzi ndefu,ishi wakati uliopo sasa na kuwa mwenye shukrani kwa wakati ulionao na ulipo sasa Mda huu ndio ambao tunao,kwahiyo sahau mambo kama...
  5. N

    LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  6. Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

    Habari wana-JF Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu. Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa. Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana RIP CHIWAWA 🙏 Mbele yetu nyuma yako
  7. Inatesa ukiwa mtu wa huruma hata kwa wale wanaokuumiza. Hakikisha hukumbatii chochote kinachokunyima furaha, tunaishi muda mfupi

    Ukimwona adui anafuraha juu ya changamoto aliyokusababishia unaumia lakini adui huyohuyo akipata matatizo unaumia moyo hupendi kumwona hana furaha Ukimwona mwanayanga anafuraha Simba ikifungwa unaumia, wanayanga wakifungwa ukiona wanaumia nawe unaumia moyo kwanini hawana furaha, kwanini...
  8. Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
  9. Wanaume wa namna hii wanapendwa sana

    Kwema wakuu, Hebu tujadili kidogo, wanaume wa namna hii mbona wanaongoza kwa kupendwa na wadada?
  10. Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  11. Malezi ya watoto sikuizi mabaya sana

    hellow weekend SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na...
  12. Chuki ya siasa mbaya sana kwa nini ulazimishe kuwaongoza

    Uongozi kiroho ni baraka unapofanya hira kuiba BARAKA ya MTU hutabaki salama,
  13. Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  14. LGE2024 Wanachofanya CCM na TAMISEMI ni ulevi mbaya sana wa madaraka

    Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi? Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa...
  15. Tahadhari: Mwanaume aliyelelewa na mama tu sio mzuri sana kwenye kupanga naye mikakati kama wanaume

    Hapo vip! kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine. Nikaanza...
  16. Tusiwekeze sana maisha yetu kwenye ushabiki wa soka, tuzikumbuke familia zetu

    Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
  17. Hili jambo linanifikirisha sana

    Za asubuhi,, Hivi shetani yupo kweli au ni hadithi tu za wazungu ??? Mtu anaamua kufanya ubaya yeye mwenyewe anaanza shetani kanipitia yupo kweli??
  18. Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  19. Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

    Wanabodi Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke...
  20. Iran isitumie nguvu kubwa Israel imeshatepeta ni ya kujipigia tu

    Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…