PAMEPOA SANA.......
Hebu tujadili kidogo kwa kutumia mada ninayoileta Kwenu kwa Mfumo wa Swali.
Je umewahi kukutana na Mnyama yeyote hatari iwe wa kufugwa au wa Mbugani?
Kama jibu ni NDIO,uliwezaje kujinusuru?
Kumbuka kutaja Jina la kiumbe husika iwe mkubwa au mdogo na mbinu uliyoitumia ili...