sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vodacom 4G inasababisha simu kupata joto sana

    Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake...
  2. JamiiForums Tanzania Mtaani kuna Black-Mail system wanaume kuweni makini sana.

    Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume . Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao. Ukitaka kutoa msaada...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kusoma siyo kazi sana, kazi ni kuelimika

    Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika nao wanafaulu. Ila kinachonisikitisha na kunitatiza na kukosekana watu walioelimika. Shida iko wapi?
  6. JamiiForums Tanzania Aliyenipa huu 'Ujanja' wa Kuutumia huu Mseto Asante sana kwani 'Cha Moto' wanakiona.....!!!

    Kupumzika (Kulala) kwa muda sahihi (Saa 6), kunywa Tangawizi tupu iliyowekwa katika Maji ya Moto, kutafuna Nazi, kutafuna Vitunguu Swaumu punje 3 hadi 5 kila Siku, kunywa Maji ya Wastani, kula Kujiko kimoja (asubuhi na Usiku) cha Asali mbichi, kutafuna Karanga angalau mara moja kwa Siku, kunywa...
  7. JamiiForums Tanzania Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

    Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi? nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
  8. JamiiForums Tanzania Jamaa kaongea ukweli mkubwa sana kwa wanao chapiwa wake zao

    Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za uwakilishi za Arusha mjini zimeharibika sana na kukosa ustaarabu kabisa

    Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao binafsi wakifanya siasa za minyukano. Mambo mengine ya ajabu katika hiko kikao ni pamoja na diwani...
  12. JamiiForums Tanzania Hili kosa naliona sana na sijui kwanini linajirudia na linaniumiza zaidi kwakuwa wanaolifanya ni Wasomi kabisa

    Jamani tunapojitambulisha hasa katika Matukio au Maeneo mbalimbali hatupaswi kusema ....Majina yangu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums bali tunatakiwa kusema / kujitambulisha kwa kusema.....Jina langu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums sawa? Kosa hili likifanywa na Watu wasiosoma...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Leo ni tarehe ya kipekee sana haitatokea tena kamwe 25-02-2025; Leo ni tarehe 0!

    Leo ni tarehe 0! :Loading:Tarehe ya leo ni ya kipekee kabisa, inaundwa na number 0, 2 na 5 pekee 25-02-2025. 2(5-0-05)=0 :PensiveWobble:!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  15. JamiiForums Tanzania Mama Samia, Mungu Akubariki Sana...

    Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana. Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha Yetu Ya Kawaida Basi Ni Hawa Viongozi Wetu Wa Juu Kujichanganya Na Sisi Hata Mara Chache Na Kupata...
  16. JamiiForums Tanzania KERO TRA Temeke ni changamoto sana kwenye ufanyaji wao wa kazi

    Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome Ilala hapo ndo kimbembe aisee Hawa jamaa nimefanya process zotee online barua nimeandika na...
  17. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  18. JamiiForums Tanzania Video hii ni fake. AI imefika pabaya sana.

    https://youtube.com/shorts/MSt3ulTfcb4?si=UI9WsdIJxfArjaif
  19. M

    JamiiForums Tanzania Leo nawapa Siri kwanini Yanga anaziangamiza sana timu zenye udhamini wa GSM na ataendelea kuziangamiza

    Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana. Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
  20. JamiiForums Tanzania Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…