sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wapemba ni wachafu sana?

    Wakuu kwema? Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu. Dah,hawa watu ni wachafu asee.. Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?
  2. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ongeza Juhudi itafute hii DAWA.. inatibu matatizo mengi sana

  4. B

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sisi Matajiri wenye mvuto na akili yana Changamoto sana. Watu wanatushangaa kwa kila chetu

    Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai. Mara mbona...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

    Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election). Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu...
  6. JamiiForums Tanzania Unafungwaje 5 yai katika fainali ya UCL. Kweli inter kazingua sana🤣

  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Chama kidogo sana kinapaishwa na Viongozi wa Chama tawala kwa kutokujua.

    Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM...
  8. JamiiForums Tanzania Raisi Samia Suluhu Hassani alikosea sana kumjibu askofu Gwajima kwani aliongea ukweli ambao serikali ilitakiwa ifanyie kazi na simaneno yale

    Gwajima tunanfahamu ni mtu ambaye hajakurupuka kutoa taarifa ya utekaji kwani swala hilo linapigiwa kelele na watanzania wote, kitendo cha raisi kumdhalulisha gwajima mbele ya umma huku akijuwa mambo aliyoyaongea yalitakiwa yafanyiwe kazi na serikali ni dhahiri sasa watekaji raisi mwenyewe...
  9. JamiiForums Tanzania Naaaam tazama hapa ; kumbe kudanga ni dili sana bongo

    Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland Agiza bia hapo nakuja lipia.......🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
  10. JamiiForums Tanzania Hapa Vwawa kwa akina Lucas Mwashambwa panachekesha sana

    1.Mijanaume na nguvu zao kabisa imevaa t-shirt za ccm. 2.saa 7 mchana wa jua kali mtu kavaa rain boots. 3.Chadema office zao zimefungwa nasikia ni mwezi wa nne huu sasa eti wameahindwa kulipa kodi ya pango ambayo ni elfu 15 kila mwezi 4.Maji ni changamoto 5.kuna lodge za hadi elfu 5 mpaka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu kajitahidi sana. Lakini Simba itafute kocha

    Huu ndio ukweli mchungu. Msimu ujao hata hiki kidogo kizuri alichofanya hakitaonekana. Labda akubali kuwa assistant coach
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nina perfume nzuri sana bei mserereko hutojutia

    Perfume nzuri za Dubai nicheki au tutembelee sinza karibu na wanyama hotel 0769618684
  13. N

    JamiiForums Tanzania IGP Camilius Wambura amepoa sana, Rais mweke CP Awadh Juma Haji

    Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hii video wataelewa wenye akili tu Magwajima wataibuka wengi tu

    Magwajima wataibuka wengi tu
  15. JamiiForums Tanzania "Nileteeni Gwajima" 2020 VS "Tupakule Magwajima" 2025. Mpambano Bado ni Mkali Sana.

    Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025. Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko, Tanesco wamekudharaulisha sana

    Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii: https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
  17. JamiiForums Tanzania John Mrema ni Mwanasiasa mwenye upeo mdogo sana wa ufahamu.

    Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo . Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA. Anaulizwa atoe tafsiri ya neno "No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara...
  18. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Mama Samia ni ngumu sana

    Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini? Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na Congo na Rwanda. Cha ajabu kwangu leo ni kwamba wakati Marekani na EU wakilalamikia hali ya mambo...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kuna utoto mwingi sana

    Gwajima na mapungufu yake mengi tuu lakini this time around kaongea kitu kikubwa sana kilichogusa mamilioni ya watanganyika kwenye swala zima la utekaji Wengi tulitegemea ndani ya chama chake apate support kubwa ama ajibiwe kwa hoja .. Kinyume chake kuanzia uduvi, dagaa, kambale na sharubu...
  20. JamiiForums Tanzania Nimejishangaa sana kuchelewa tambua Umuhimu wa Mto katika kumpa mwanamume muingilio mwarara

    Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia. Haki Mapenzi ni Ubunifu. Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!?? Ehh!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…