sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sio ubinafsi lakini ukishazoea kuishi peke yako ni raha sana na ni ngumu kuja kuishi na mtu tena

    Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe. Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu. Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uaminifu: Tabia inayochukuliwa Poa sana na vijana wa kitanzania

    Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia. Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww...
  6. JamiiForums Tanzania Tabia nyengine za wapenzi wetu tusizilaumu sana, pengine alikutana na zimwi kabla yako!

    Ukute alikuwa mtoaji mzuri tu si mchoyo, alikuwa anashare taarifa,pesa n.k Lakini alipokutana na kurumbembe ambalo halikufunzwa kwao likamnyoosha. nayeye binti/kaka wa watu akaona isiwe tabu, Namna yakwenda na hawa walimwengu ni "Jino kwa jino!". kila binadamu huwa ana namna yakujilinda...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Lipumba: Nilishawahi kuhutubia mpaka nikapewa mbuzi na wananchi lakini bado nikapata kura 0

    Wakuu, Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya. Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0 Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election Msikilize hapa:
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA ina uwezo mkubwa sana kutengeneza ajenda na mijadala ya siasa za nchi kitaifa

    Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa. Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
  9. JamiiForums Tanzania ROHO YA KUNYIMANA ISHINDWE TUKIELEKEA PASAKA.......MNATUTESA SANA WAMAMA..

    HAYA MAOMBI SIRUDII TENA MAANA NIMEOMBA TOKA JAN MUNGU ATUSAIDIE SANA NDOA NYINGI ZINATESEKA SHIDA KUNYIMANA UNYUMBA YAAN WANAUME WALEVI WANALEWA USIKU HAWAWEZI HATA KUSHUGHULIKA WANAWAKE WANANYIMWA PESA ZA MSOSI USIKU WANANZISHA MAPAMBANO YA KUNYIMANA UNYUMBA YAAN USIKU UNAKUWA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  12. JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  13. JamiiForums Tanzania True Story, baadhi ya watu ni hatari sana sana

    Juzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje suala husika, alipofika eneo la tukio, alikwenda moja kwa moja kwa mtuhumiwa na kumuhoji juu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Naipenda sana hii position, ubongo wangu husamabaratika kabisaaa.

    Hakuna raha itakayofanania kama pale mrembo umemuweka doggy au reverse kow girl alafu ageuke anakuangalia kwa huruma akisikilizia utamu. Aiseee, kongole kwa warembo wote♥️♥️ wanaojituma kwa bed.
  15. JamiiForums Tanzania Kipengere cha Measure kwenye SPSS kina umuhimu mkubwa sana!!.

    Jumatatu yangu leo nikasema nisettle nifanye coding ya data za research kwa kutumia SPSS...sasa ile wakati najaza nikafika kwenye kipengele cha Measure kama unavyoona kwenye picha hapo aisee!" Ndipo nagundua kumbe Nominal, Ordinal, na Scale kila moja inamaana yake yaani kiufupi zenyewe si...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa anamtisha nani hapa?

    No Reforms No Election [emoji91] Hii ni nchi yetu sote tusitishane!
  17. JamiiForums Tanzania Media za magharibi za ovyo sana

    Ukraine akirusha drone na kuleta madhara hawatangazi ila Russia akijibu mapigo wanatangaza juzi Kuna kitu kizito pale sumy Ukraine kimerushwa hahaha huko kelele TU sasa hivi
  18. JamiiForums Tanzania Whouth huko Yemen usiku huu tuwaombee sana!!

    Usiku huu huko Yemen Houth wanapata kipigo cha mbwa-koko kutoka kwa mashambulizi ya ndege za kijeshi za Marekani hivyo tuwaombee tu ujinga uwalone wa kuingilia ugomvi usiowahusu huko Gaza.
  19. JamiiForums Tanzania Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

    Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana. Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake. Kuna mwaka mmoja nilienda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…