samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya 1,000,000 waajiriwa sekta ya Kilimo, mnaolalamika maisha magumu njoo shambani

    Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti) Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  3. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 What a shame, Taifa litapoteza 1 trillion Kwa uchaguzi wa Samia Vs Salum Mwalimu

    Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu. Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader. Kwa Tanzania Hali ni tofauti, baada ya Samia kujiteua bila kupigiwa kura kuwa mgombea urais, ameenda mbali kwa kuogopa strong...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

    HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo yangu sitakubali nafasi yeyote ile ya kupewa ķutoka serikalini iwe ni Ubunge wa kuteuliwa Ukuu wa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Rais Samia: Siasa ni mchezo wa fikira na mawazo na kulumbana kwa hoja

    Rais Samia 08 Machi 2023 akiongea na BAWACHA alinukuliwa kusema "Wote tumejawa na furaha. Na hiyo ni kwa sababu ya matunda ya mazungumzo na maridhiano. Ndugu zangu siasa ni mchezo. Mchezo wa fikira na mawazo, kulumbana kwa hoja, kuangalia kakosea wapi tumzodoe na mimi naona kaongea nini namjibu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

    DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho. Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je mpina akisimama na wasukuma, Tundu Lissu awe kati, Dr Samia angetoboa?

    Jibu swali hapo juu tu
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura za wajumbe wa CCM zimepalilia falsafa ya Oktoba tunatiki, Sasa tutatiki kwa Rais Samia, wabunge wa CCM na madiwani wa CCM. Then Day ended well

    Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa. Wajumbe wameshachagua wabunge na...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi atuambie huu Mkataba ulihusu nini?

    GT Hakuna asiyemjua Rostam.kwamba ni moja ya genge la wanaonufaika na serikali dhaifu. Rostam alikuwa timu Lowasa amabalo ni kati ya magenge ya wahuni hapa nchini yanayoteketeza mali za umma. Walienda na Samia.US kusaini huu.maktaba je ulihusu nini? Anaweza kuja hadharani na kutuambia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Kikwete 2015 Rais Samia hutaweza kumuweka unayemtaka 2030, safari ya wazalendo kudai nchi yao imeanza

    Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani

    Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama walivyoahidi.
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Huu ujumbe unaoonekana ni wa Rais Samia kwenda kwa mwanae Wanu

    Wakuu Naomba ufafanuzi hapa
  14. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa TZS47.777bn kwaajili ya huduma za afya

    Katika kipindi cha 2020 hadi 2025, Mkoa wa Tanga umeongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 325 hadi 417 (ongezeko la vituo 92), ambapo zahanati zimeongezeka kwa 74 (kutoka 287 hadi 361), vituo vya afya kwa 15 (kutoka 31 hadi 46), na hospitali kwa 3 (kutoka 7 hadi 10). Kwa upande...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa Miaka yote ambayo SAMIA atakuwa Madarakani na Kikwete hai. Simba msahau Kuchukua Ubingwa wa Ligi

    Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji. Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani? Serikali ikiwa upande...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Siri ya Tundu Lissu mpeni onyo Mama Samia

    Kwa maono ya imani yangu na niliyo ona wakati nasali Lissu hata yeye hajui lakini anatumika na Mungu narudia hata yeye hajui hili. Sasa wakati wa Magufuli msije kufikiria alikuwa kichaa kukataa dawa za covid, kutukana na kukebehi ma Padre kwa kutaka watu wajihadhari na covid. Yale yalikuwa...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi. Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
  18. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vituko vya Aggrey Mwanri akiomba kura kwa Wajumbe CCM

    Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni Chanzo: ITV...
  20. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhitta: Rais Samia ameleta Shinyanga shilingi boilioni 492 kukamilisha vijiji vyote 506 vya Mkoa wa Shinyanga kuwa na Umeme kwa ushirikiano na REA

    Serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha TZS492bn kupitia TANESCO na REA Mkoani Shinyanga kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Umeme. Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini (REA) imetekeleza mradi kwa TZS11.18bn na kusambaza umeme katika...
Back
Top Bottom