samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. The Father of All

    Kama uchaguzi ujao ungekuwa halali bifu za Samia na wenzake zingesaidia au kuiumiza CCM?

    Tangu aingie madarakani, rais Samia Suluhu Hassan amekuwa na bifu na baadhi ya wanachama wenzake. Alianza na Job Ndugai spika wa zamani wa bunge letu. Baadaye, akafuatia Dk Bashiru Ally akiwakilisha kile kilichokuja kujulikana kama Sukuma gang. Juzi alianza bifu na Josephat Gwajima kidhabu...
  2. GENTAMYCINE

    Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
  3. Carlos The Jackal

    Bashite Makonda akiwa Mwenezi, Samia akamuona Anajitafutia Umaarufu, Kwa Gwajima pia akaona hivohivo, Kwa Luaga Mpina kasema anajitafutia Umaarufu!

    Unaweza ona tuna Rais wa Aina gan? RAIS ambaye ndio Yuko kwenye Mamlaka lakini bado HAJIAMINI na Akisumbuliwa na Inferiority complex. Tuna Rais ambaye Comfortability yake ni hadi Asifiwe, yaan Ukimsifia ndio anajisikia Rahaaaaaaa na hii imefanya CHAWA WAWE WENGI ,Taifa limeamuaa kua la...
  4. peno hasegawa

    PreGE2025 Hukuna kutoa kura za Ndiyo: Sisi Jimbo Letu Tunamdai Samia: Je, Jimbo Lako Mnamdai Samia?

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ni muhimu kila jimbo kuangalia maendeleo yake na kutathmini kama viongozi wetu wameshiriki kikamilifu kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Hapa chini, tutaangazia baadhi ya majimbo ambayo yana matatizo makubwa ya miundombinu na huduma za...
  5. Hance Mtanashati

    PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

    Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu. Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao...
  6. Azim Sokoine

    Inamaanisha nini wananchi kumshangilia zaidi Mpina kuliko Rais Samia?

    Habari wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa. Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi walimshangilia sana kwa shangwe ila ilipofika wakati wa Rais Samia kuzungumza alimshambulia Luhaga...
  7. figganigga

    Rais Samia kateleza ulimi. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma

    Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake Bungeni. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  8. K

    Kuzuiwa kuabudu kwa Tundu Lissu na kufungwa kwa kanisa la Gwajima kunamtia doa Rais Samia

    Huu ni utafiti wangu mdogo nilioufanya jana na leo,sikutegemea kama kesi ya Antipas Lissu ingefwatiliwa na watu wengi kiasi hiki. Leo wanaume kwa wake wanaijadili kauli ya Tundu lissu kwa nini azuiwe kuabudu? Ukitegemea lawama zote anatupiwa Rais wa inchi ambaye ni Muisilamu, haina tofauti na...
  9. The Father of All

    Lissu akitaka maombi yake yafike, asimuombe Mungu bali Samia

    Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
  10. The Father of All

    Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

    Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja. Ni ushauri tu...
  11. PendoLyimo

    Rais Samia atembelea mradi wa REA Simiyu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea mradi wa nishati safi ya kupikia wa shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo na kupewa maelezo na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga wakati akifungua shule hiyo leo tarehe 16...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
  13. The Burning Spear

    Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

    GT Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%. Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
  14. N

    Rais Samia tunaye na tunatamba naye, Oktoba tunatiki

    SAMIALIZATION
  15. L

    Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  16. E

    Uongozi wa Rais Samia

    Najaribu kufuatilia kwa ukaribu sana uongozi wa Raisi mama Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi. Uchumi umekua wana Jamii forum, na alichokifanya ni uwekezaji tu kwenye: 1. Agriculture 2. Mining and Quarrying 3. Construction 4. Manufacturing Tokea ameingia madarakani nimekua nafuatilia...
  17. Waufukweni

    Rais Samia: Sio dhambi Serikali Kushirikiana na Mahakama

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama na mihimili mingine ya Dola ikiwemo Serikali na Bungeni ambapo Rais Samia amesema sio dhambi kwa...
  18. L

    VIDEO: Haya ndiyo mafuriko ya watu yanayoshikilia rekodi nzito ya mapokezi ya Rais Samia hapa nchini mpaka muda huu

    Ndugu zangu Watanzania, Kila anapokwenda Na kutua katika ardhi ya Nchi hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa akilakiwa na kupokelewa kwa mafuriko makubwa sana ya watu ambao hujitokeza na kumiminika kwa wingi sana...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  20. DuaZaMama

    PreGE2025 Kikwete: Nchi ni tulivu, mambo safi chini ya Rais Samia

    "Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo tumeona leo, kwanza kuhusu uwanja wa ndege, uwanja wa ndege wa Msalato umekuwa ni dhima ya viongozi...
Back
Top Bottom