samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia awatunuku kamisheni maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimepitia video ya ndugu Samia hana furaha na hayuko sawa

    Nimepitia video ya ndugu samia hana furaha na hayuko sawa heti anawaambia wamama alio waulia watoto zao wawakanye wasidai haki. Ndugu Samia alikuwa njiani kuelekea Arusha na kikundi chake cha maigizo. Yeye ni amani amani tu, hata wale wasiopewa miili ya ndugu zao yeye anataka amani amani.
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaani uonewe na Al Jazeera, BBC, France 24 na CNN? Wewe nani kwa mfano?

    Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
  5. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

    Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi? Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

    Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

    Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki. Nasema kuwa mna dhambi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

    Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu. Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je Samia amekataa au kushindwa kujiuzulu au analazimishwa kuendelea kubomoa nchi asiwe na pa kukimbilia?

    Chonde chonde wote mnaomshauri hata kumshikiria Rais Samia. Acheni kumdanganya. Mtamponza. Tanzania ishamtoka atake asitake. Namshauri afanye maamuzi magumu mapema kabla umma haujamuamulia na akaumia. Binadamu hukosea. Hata hivyo, hakuna kosa kama kuendelea kung'ang'ania au kurudia kosa...
  11. Black Legend

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, hebu chutama ukubali kukosea

    Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa kauli za kujierka pembeni katika makosa makubwa yaliyotokea. Kama mtuhumiwa namba moja wa ukiukwaji...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Samia kwanini unakwepa haya maswali?

    …………
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Samia na sababu za 'kutapatapa'; Ooh, nchi jirani! Ooh, walilipwa!

    Anajiita rais, lakini hajui anakwenda wapi! Alianza kwa kusema fujo ni watu wa nchi jirani. Sasa anadai walilipwa. Yaani anatoa majawabu anayotaka kusikia. Pembeni kuna usanii wa Commonwealth na hadithi ya maridhiano. Yaonekana hakuna niya ya kueleza wauaji ni akina nani. Kuna kundi limetenda...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Novemba 21-22, 2025, akitarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwenye Chuo cha...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbukizi: Rais Samia alipomwambia Waziri Masauni Polisi hawawezi kujichunguza wenyewe kwa mauaji, leo kibao kimegeuka!

    Rais Samia hapa alimwambia Masauni umesema kuna mauaji yaliyotokea Mwanza na Mtwara, na kwamba kwa taarifa zilizopo ni Jeshi la Polisi ndio limefanya mauaji, na kwamba Jeshi la Polisi limetengeza kamati ya kufanya uchunguzi na kupelekea taarifa. Akasema, "Haiwezekani Jeshi la Polisi lifanye...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Tume ya ndani ianze halafu Tume kutoka nje zitafuata

    Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea. *** Ni kama kuna shinikizo fulani, vinginevyo angesema hatuhitaji tume yeyote kutoka nje. Pia Soma: Rais...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi

    Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya...
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tume ya Uchunguzi ndiyo italeta ajenda kwenye Tume ya Maridhiano

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume ya uchunguzi ya Jaji Chande ndiyo itakayoleta ajenda ya tume ya Maridhiano. Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tume ya mchongo imelazimishwa kuundwa alafu uzinduzi majibu analeta samia mwenye hapo hapo kwenye uzinduzi.

    Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
Back
Top Bottom