samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutamplekea Samia Ikulu

    #D9 tutafukua makaburi ya kondo kujilidhisha taarifa ya CNN kama ni kweli tutampelekea samia ikulu. #D9 ni wakati sahihi na tukiwa wengi sana kufukua pale kondo
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

    Na. M. M. Mwanakijiji Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gwajima asubiri huyu Samia kesho alete porojo zake alafu Gwajima atupe neno la ibada la mwisho kutusindikiza #D9 kukomboa nchi yetu

    Gwajima asubiri huyu Samia kesho alete porojo zake alafu Gwajima atupe neno la ibada la mwisho kutusindikiza #D9 kukomboa nchi yetu.
  5. Arya Stark

    JamiiForums Tanzania Mgeni nipokeeni - Nimejiunga rasmi sababu ya D9 na hotuba ya Samia

    Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia. Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni. Kunihusu: Jinsia - KE Makazi - Pwani Kazi - Winga Umri - Gen Z Mahusiano...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  7. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Nitangulize salamu za heshima na pole kwa majukumu yako mazito ya kulitumikia na kuliongoza taifa letu. Nikiwa kijana mzalendo, mkweli na asiye na mashaka juu ya uzalendo wangu kwa nchi hii, nimeona ni vyema kukuletea salamu na ujumbe maalumu tunapoanza mwezi huu wa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana wajinga walikuwa wanasubiri jeshi lichukue nchi na kumuondoa Samia kwa amri ya Mange Kimambi

    Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa Tanzania waliamini kwa 80%-90% au zaidi kuwa Tarehe 29 September jeshi la ulinzi lingekwenda kuipindua...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kuuliza SI ujinga, mwanahenzi Suluhu Hassa ni mdogo wa Rais Samia Suluhu Hassani?au Samia aliolewa kutoka Kwa Mzee Awadhi?

    Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

    Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Othman Masoud na Jussa - Mtoseni Samia muinusuru Zanzibar

    Salam ndugu Othman Masoud na Jussa Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia Zanzibar na wala hakuisaidii ACT, sanasana kunaisaidia CCM. Nasema hivi kwa sababu sasa hivi bi...
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mawasiliano Wakati wa Mizozo ya Kitaifa

    GTs, Katika siku za karibuni tumeshuhudia kuzimwa kwa huduma za mtandao na vizuizi katika majukwaa ya kijamii nchini. Hatua kama hizi, ambazo mara nyingi hutolewa kama “za kiusalama,” zimeleta maswali mazito kutoka kwa wananchi kuhusu uwazi, usimamizi wa taarifa, na haki ya kupata habari...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ikiwa rais Samia na watuhumiwa wenzake huko ICC watakamatwa, Nani atashikilia kiti cha urais?

    Kuna Mbinyo unabinywa kwa nguvu. Kuwa wale wote wanaotuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia Oktoba 29 mpaka Novembee 4 20205 wakamatwe na kufikishwa The Hague Uholland. Mtuhumiwa wa kwanza anatajwa kuwa Rais Samia na wenzake. Je , wakikamatwa na ICC nani anatakiwa kukalia kiti cha...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje fedha sasa si za Samia bali za Watanzania wote?

    Tulizoea kuwasikia machawa wakisema Samia katoa hiki, katoa kile kana kwamba ilikuwa ni fedha yake na si yetu. Baada ya kubao kugeuka, sasa wanaramba matapishi. Wanatuhadaa kuwa pesa ni yetu wakati ni ya Samia. Ina maana hawakujua kuwa tunajua kuwa ni pesa yetu ndiyo wanatumia kujineemesha na...
  19. canular

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania hatuwataki CCM na Rais Samia

    CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa...
  20. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma. Kauli hiyo aliitoa...
Back
Top Bottom