samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jicho la tatu: Watanzania tuingie katika maridhiano kama Serikali ya Samia inavyotaka

    Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Raisi Samia Suluhu Hassan Umeamka Kujichunguza?

    Rais Samia! Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa haiwezi kuchunguza chochote bali inaenda kuchochea machafuko zaidi na kumvua nguo Samia, utasikia waliokufa walikuwa na madeni

    Tume iliyoundwa haiwezi kuchunguza chochote bali inaenda kuchochea machafuko zaidi na kumvua nguo Samia utasikia waliokufa walikuwa na madeni. Iundwe tume ya uchaguzi kutoka nje ya nchi. samia anazima moto kwa mafuta ya pikipiki.
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Tume aliyoiunda Samia ni upigaji mtupu wa kodi za wananchi. Hakuna litakalofanyika, ni kuendeleza dharau zake!

    Yani hii tume alichokifanya ni kubandika tu majina anayoyajuwa yeye ya kumlinda zaidi, lakini si kuwasaidia wananchi. Yani tume hakuna hata Human Rights Organization, wadau wengine kama Vyombo vya Habari, halafu unasema hiyo ni tume. Yani Samia kashatuona sisi watanzania ni kama bibi zake wa...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Kikwete aongoza Mahafali ya 55 ya UDSM - Vijana wanafuraha isiyo na kifani, sasa Serikali ta Mama Samia imewaandalia kazi za kumwaga

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini. Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  9. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

    Joel Nanauka uwe makini sana, usije ukapoteza legacy uliyoitafuta kwa taabu na kwa mda mrefu kwa kutumiwa na huyu bibi kuficha uovu wake
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Yaani, Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming. Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha. Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza Samia na Serikali yake yote au tupo wengi?

    Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza samia na serikali yake yote au tupo wengi ? Karibuni wadau kwa maoni
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

    Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:- 1. Ofisi ya Rais -...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya Samia yavunja rekodi ya kuua raia wake tangu Idd Amin kuwaua!

    https://twitter.com/RahmaMwita/status/1990298542972559465?t=7qbHSYfr_DjgtMvB3nvTCA&s=19
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanaandaa wahaini walioachiwa waje kumshukuru mbele ya camera

    Mnanahangaika sana Hili nalo litaongeza hasira zaidi kwa wananchi, mmewapiga na kuwazalilisha vijana wa watu leo mnataka kuwaweka mbela ya camera kumshukuru na kumpaka mafuta mhaini kwa kuwatoa ndani .?
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  16. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mama kama ni hela tayari unazo, kujiuzulu pekee ndio kutakupa heshima japo kidogo

    Huo ndio ushauri wangu kwako na ukijiuzulu, utaona yafuatayo: 1. Habari ya maandamano haitokuwepo 2. Viongozi wa dini wakiwemo wa kanisa katoliki, wataanza kuwasihi waumimi wao kusamehe 3. Hoja ya maridhiano itaanza kupata nguvu 4. Shiniikizo la kutaka mahakama ya ICC wachukue hatua litapungua...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video ya mzee Malissa ina maanisha nini? Rais Samia lazima ag'oke madarakani?

    Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais. Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
  19. Egnecious

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, TEC wanataka “kuupora” Urais wa Samia kwa nguvu

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani. Sijashangaa sana kwani huu ni utamaduni wao pale wanapoamua kulinda maslahi yao na makundi yao. Nilitegemea baada ya...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
Back
Top Bottom