samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TAS Mollel: Tunaomba Rais Samia aongezewe muda

    Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kupigwa Marufuku na Mtoto wa Nyerere , Genge la Samia wamekimbilia Mgongo wa Chifu Japheti !Hamna mtoto wa Nyerere alokosoa Maamuzi ya Andrew

    Wakuu ama kweli Mtoto wa Nyerere Andrew Nyerere amekua kuyakomesha haya matapeli , manyonyaji , madhulumati ya Haki za Watu na Mafujaji ya Rasilimali za Nchi !!. Mpaka Sasa Hamna Mtoto wa Nyerere ambaye ametoka hadharani kupinga au kukosoa maamuzi ya Kaka Yao Mkubwa Andrew Nyerere juu ya...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Samia anatuchanganya. Kaamua tena kugombea na Ubunge?

    Aiseee... Nadhani anafikiria sana kuwa yeye ni Mbunge na hilo ndo angalau anaona ni saizi yake.
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zimebakia wiki chache watu wanaomsifia Samia wabadilike na kusema "chama chetu hakikumchagua, alijiteua mwenyewe". Tupo hapa

    Machawa hayanaga msimamo na week kadhaa zijazo watamgeuka kiongozi wao ambaye wanamsifia sasa hivi. Tuko hapa. Utakutana sana na " Ujue yule hutukumchagua, alijiteua mwenyewe" nyingi sana. Ghafla na wao wataanza kuchukia ufisadi na kuchukia utekaji. Tuko hapa
  6. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia mnamuita "Mama" ?

    1. Mama ambae baba mzee Kibao anakufa anasema kifo ni kifo 2. Mama ambae mtoto Mdude amechukukuliwa kikatili na kuvuja damu, wajukuu wanaachwa yatima, yeye mwenye dhamana hasemi kitu 3. Mama watoto wanapotea hana habari. Mama ni title ya huruma na utu, Samia amekosa hicho. Itoshe kumuita Rais...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

    Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana, Ili ni funzo mnielewe Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi Ndo unajitapa uliwarejesha nchini? Nani hasiye...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Zisingekuwa kampeni za uraisi Samia hasingeomba kura ya Hayati mkapa, je mkapa atapiga kura?

    Wewe uko kwenye kampeni unaambatana kwenda kwenye makabari ya MAREHEMU kufanyaje?. Je, Mkapa atapiga kura Mwaka 2025? Tangu amefariki hujawai kwenda, leo kisa wataka Urais ndo wajitia kwenda kumwomba kura MAREHEMU kwani anapiga kura?
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkiwakuta wale wanyama waambieni dawa yenu ipo jikoni

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi kumimaliza kero inayowakabiri ya wanyama pori kuingilia makazi ya watu na kuharibu mazao kwenye mashamba yao. Kauli...
  12. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila nikiona wananchi wa Ruangwa wanavyomshangilia Samia naishiwa pawa

    Dah.. Japo mimi ni Mngoni ila nachukulia sana Ruangwa ndio kwetu, maana nimezaliwa na kukulia huku; hadi leo hii nina miaka 19, familia yetu haijawahi kuhama Ruangwa Huku wanashangilia sana CCM kwa sababu kipindi cha Magufuli, Majaliwa alijitahidi kuleta maendeleo lakini wananchi hawaelewi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama Samia usishupaze Shingo, kuna dissatisfaction kubwa katika nchi juu ya mambo yanavyokwenda nchini

    Ndugu mama Samia. Umetufungia JF tusiiaccess ndani ya Tanzania, lakini tutakueleza ukweli na utakufikia. Iko hivi mama yangu, ndani ya nchi yetu kuna vilio kila kona, watu hawaridhiki na nchi inavyokwenda. Mimi nitakueleza ukweli tu, ukitaka chukua ukitaka achana nao. Kuna hali ngumu ya...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia aendeleza sifa katika msafara yake

    GT Ona maajabu ya Tanzagiza endeleeleni kulala.. NRNE
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Punde mtaanza tena kumsifia Samia!

    Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela. Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu. Mbowe alisota jela takriban miezi nane. Sasa, itakuwa hivi: Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo...
  16. Asemavyo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tito magoti: Lissu amekataa offer kutoka kwa Samia ili aachiwe

    Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko Anasema hivi Scenarios za washauri wa kizimkazi: 1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais. 2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ndoto za chizi natamani yafuatayo baada ya Samia kutawazwa

    Natamani yafuatayo Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu, Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo Ongeza wako. Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu: Hakuna sababu ya kumnyima kura Samia na Mwinyi tunasema "paka wanyumbani hafukuzwi"

    Mtoto wa Rais Samia bibie Wanu naye amuombea kura mama yake pamoja na Dkt Mwinyi huku akitanguliza na msemo ukisema "paka wanyumbani afukuzwi" Mama yake naye akauunga mkono kwa asilimia zote
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Dkt. Samia anachaguliwa kutokana na uwezo wa kazi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu. Amesema...
Back
Top Bottom