samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

    Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia. Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu alikula hela za mabeberu na maadui zetu kumpindua Rais Samia na kuleta machafuko nchini ni lazima atazitapika tu

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu alikula pesa za Mabeberu na maadui zetu kwa ajili na kwa lengo la kutaka kumpindua Rais Samia pamoja na kuleta ama kuchochea machafuko hapa Nchini yatakayo liangamiza Taifa letu. Ni lazima afahamu ya kuwa Atazitapika Tuuu hizo pesa atake ama asitake. Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

    Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Kutomtii Rais Samia ni kukiuka maagizo ya Mungu

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasaidizi wake wote, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni wajibu wa kiraia na pia ni takwa la...
  7. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba ya mwisho ya mwanaharakati aliyetekwa mbele ya watekaji. Dunia husau haraka

    HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani nilipokuwa Msanii wa muziki. Najua utajiuliza ni lini TaikonMaster aliwahi kuwa mwanamuziki. Lakini...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kura 98% za Samia sawa na Watanganyika 32,000,000 waliompigia kura, zageuka shubiri wanamuombea kifo...!!

    Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana... Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!! Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenista Mhagama alikuwa 'Kiraka'

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Mjomba wa Bibi harusi apokea kipigo kizito akidaiwa kumsifia Rais Samia kwenye harusi

    Wakuu Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
  13. JamiiForums Tanzania Gen Z amkeni mkafanye kazi. Serikali ya Samia hamtaweza kuipindua, mtachanganyikiwa kwa msongo uzeeni

    Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi? Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti...
  14. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

    Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa. ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano yanaendelea huko nchini Ujerumani wanauliza " Samia who are you"

    "Tumekuja kuchukua miili ya ndugu zetu tukazike, Samia ondoka Ikulu hatukutaki WHO ARE YOU" Eva Shayo
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Miezi 6 ni mingi sana kwa Samia kuendelea kuongoza kama hali haitabadilika

    Wananchi wamemkataa live wana hasira sasa anatumia nguvu ya dola kuwatawala na kuwanyamazisha. WanaCCM wenyewe ndani ya chama chake hawamtaki. Nchi wahisani ambazo ni msaada mkubwa kwa miradi na bajeti yetu zinaendelea kutukimbia. Mashirika na jumuiya za kimataifa kama UN, EU, AU, SADC na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

    Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…