samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
  2. J

    Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  3. RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

    RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika. - Asema Mkandarasi wa...
  4. Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
  5. Mafanikio ya Rais Samia kuelekea 2025, Roma locuta, causa finita!

    KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
  6. Rais Samia na mafanikio ya UNGA

    Ilisema huko na zamani na wa wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts,” kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyokuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa...
  7. Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

    Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari, Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
  8. Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
  9. Mchengerwa awashukia maofisa ‘wanaobania’ watumishi kupanda madaraja

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi walioshiriki kuficha sifa za watumishi wenzao hali iliyosababisha kutopandishwa madaraja. === Arusha. Waziri...
  10. O

    Sasa ni Wakati wa wazee wa CCM kumshauri Rais Samia

    Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi. Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise...
  11. Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

    Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote. Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
  12. Ujanja wa Rais Samia kwa Museveni

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni, leo wameshiriki uzinduzi wa Shule ya awali na msingi Museveni iliyojengwa katika kijiji cha Nyabilezi, Chato mkoani Geita. Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya takribani Dola za Kimarekani Milioni 1.67...
  13. Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

    Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi. Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu...
  14. Ukweli ni kwamba Rais Samia hakuwa pamoja na Hayati Magufuli

    Unafiki siyo tusi wala neno baya. Samia pamoja na kuwa alikuwa msaidizi wa Hayati JPM lakini kwa matendo yake ni wazi aliishi na marehemu kinafiki. Huwezi kuyapuuza ya msaidizi wako endapo ulikuwa naye sawa katika utendaji na kosa kubwa alilolifanya ni kutokujiuzulu ili angalau historia...
  15. Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Salaam Wakuu, Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo. Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye. Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais. Mkeka...
  16. Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
  17. Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  18. Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

    Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana. Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona...
  19. Rais Samia karibu tena Mbeya

    Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka moyoni za nini utatufanyia wana MBEYA tukiwachagua, najua ulijua mtashinda uchaguzi na mulishinda kwa...
  20. N

    Hivi Rais Samia umekosa kabisa watu wapya wa kuleta mawazo mapya kwenye Taasisi/ Uteuzi wa Bodi una walakini sana

    Eti umemrudisha Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa PSSSF. Hivi kweli kabisa mmekosa watu wazuri wenye mawazo ya kuukwamua huo Mfuko. Huyu Iyombe ndiyo chanzo cha kuua huo Mfuko tangu akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF. Kuna wakati JPM alishaamua kumtoa lakini basi tu akaona bora amalizie muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…