samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Rais Samia Suluhu ameupiga mwingi

    Hivi ni takwimu walitoa Benki Kuu ya Tanzania mwanzoni mwa mwezi Machi 2022. Takwimu zinaonesha kwamba shughuli za utoaji wa huduma zimeimarika zaidi hadi kufikia Machi 2022 ukilinganisha na kipindi kama hicho Machi 2021. Haya yote ni matunda ya kufunguka kwa uchumi, utalii na pia kuboreshwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

    Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja. Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson alivyomuelezea Rais Samia Suluhu kwenye gazeti la Time

    BY ELLEN JOHNSON SIRLEAF MAY 23, 2022 6:06 AM EDT President Samia Suluhu Hassan took office in March 2021, and her leadership has been a tonic. That year has made a big difference to Tanzania. A door has opened for dialogue between political rivals, steps have been taken to rebuild trust in...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi bora, ni mbeba maono na mvumilivu kweli

    Anaweza kubezwa leo kwa anachofanya lakini akakubwa kesho na kiongozi bora hafanyi kwa ajili ya leo tu anafanya kwa ajili ya kesho. Baadhi ya nukuu na hotuba za Mwalimu Nyerere bado zinaishi mpaka leo na ukizisikiliza unaweza kufikiri ni leo ndio anazungumza. Kipindi Cha Mwalimu kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  6. JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia hamtaki Mbatia na anataka wapinzani wataokuwa wakisema yes kwa kila jambo? Rais wa chama tawala anapanga safu ya wapinzani?

    Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu. Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma. Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi. Kwa hali hii kumbe rais...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

    Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu? Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani? Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui ni Tabora hiyo, aisee...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Shaka kulazimisha msifie chochote juu ya rais Samia naona sasa watu wanaropoka hovyo tu. Huko nyuma watalii walikuja kulikuwa hakuna usalama?

    Mtu akiteuliwa kwa kubebwa haya ndio madhara yake sasa. 👇
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

    Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu. Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja Inakera na kuudhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila uchwao. Sitaki...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

    Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa. Baadhi ya tweets...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analala nje ya Ikulu?

    Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo, Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

    1. Upatikanaji wa katiba mpya. 2. Tume huru ya uchaguzi, 3. Zuio la mikutano ya hadhara. 4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. 5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum. 6. Suala la ruzuku, 7. Usawa wa vyama vya siasa, 8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa. 9. Wakimbizi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema na Rais Samia: Mtu hakatai WITO hukataa anachoitiwa

    Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  15. JamiiForums Tanzania Rais samia anaonyesha utawala bora kwa vitendo

    RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa. Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

    Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
  17. JamiiForums Tanzania Josephine Matiro: Miaka 7 hapakuwa na Ongezeko, ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia kaongeza 23.3%. Ni Ushindi kwa Wanawake

    Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu makini sana

    Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi. Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana kama alivyopitia mzee wetu Jakaya Mrisho ni watu wanaoangalia misingi ya binadamu sana. Mfano Leo...
  19. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

    Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…