samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
  2. K

    USHAURI: Rais Samia safisha Polisi na vikosi vyote vya usalama vinavyotuhumiwa kuteka na kuua watu

    Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza na kuunda vikosi vya kisiri vya kushughulikia watu ambao yeye binafsi na wapambe wake walikuwa...
  3. S

    Rais Samia kuzindua Magomeni Quarters Tarehe 23/03/2022

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam. Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki. Ujenzi wa majengo ya...
  4. Chalinze, Pwani: Rais Samia azindua mradi wa maji na kuzungumza na Wananchi

    Kutoka Mlandizi, Chalinze - Mboga mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji na kuzungumza na wananchi leo tarehe 22 Machi 2022. ====== Rais Samia Suluhu Hassan amesema upatikanaji wa...
  5. Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Ni kuhusu maelekezo yaliyotoka Serikalini tarehe 08 Februari,2021 kuidhinishwa Muundo mpya wa maendeleo ya Utumishi (Scheme of Service) Ulioanza kutumika terehe 01 Machi 2021) kwa baadhi ya taasisi za Umma. Kutokana na mabadiliko ya Muundo huo imeonekana kuwa, Mishahara ya watumishi hao ni...
  6. B

    Katiba Mpya si kwa Utashi wa Zitto, Mukandara wala Samia

    Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba. Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu. Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea au awaye yote kwamba wanaweza kujimilikisha mustakabala wa msingi wa nchi hii. Labda kama wanataka...
  7. B

    Rais Samia kuzindua mradi wa maji Mlandizi - Chalinze - Mboga 22 Machi, 2022

    Kwa niaba ya Wananchi wako wa Chalinze mimi mtumishi wao Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze, ninakukaribisha Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan Jimboni kwetu kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi-Chalinze-Mboga wenye thamani ya Billioni 18. Tumejiandaa kukupokea na...
  8. Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah. Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa...
  9. J

    Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa wa Dodoma

    DITOPILE :RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA DODOMA MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa huo ambapo Vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kwa asilimia 20 ndani ya mwaka mmoja...
  10. B

    Mwaka 1 wa Samia: Zuhura Yunus umeitendea haki Kurugenzi ya habari Ikulu

    Nimesikiliza makala ya mafanikio ya Rais Samia tangu aliposhika hatamu kuongoza nchi iliyoandaliwa na kusimuliwa na Zuhura Yunus. Kiukweli huyu dada ni msimulizi mzuri hatetereki wala kujiumauma kanyooka kama rula na kiswahili chake maridhawa. Kwa kweli katika teuzi hapa mama aliramba jike haswa
  11. J

    Mwaka Mmoja Na Samia: Kufunguliwa kwa Magazeti Makubwa manne

    "Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena #MamaYukoKazini #MwakaMmojaNaSamia
  12. Naiona Tanzania mpya kupitia Rais Samia Suluhu

    Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa za kufunga hvo nikaanza kujitoa taratibu upande wake nikabaki kuwa mtazamaji tuu ila kama...
  13. J

    Mwaka Mmoja Na Samia: Tumuombee andike kitabu chake

    "Rais Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake. Tumuombee Rais Samia Suluhu aandike kitabu chake, kurasa 365 amezimaliza, tunaamini ataendelea vizuri", - Nape Nnauye, Waziri wa Habari #MamaYukoKazini #mwakammojawamama
  14. J

    Mwaka Mmoja Na Samia: Uhuru wa vyombo vya Habari

    "Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa #MamaYukoKazini #MwakaMmojaNaSamia
  15. Well done Rais Samia

    Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja. Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities. Tulikuwa tunaishi kila siku ikijitegemea, hujui kesho litaibuka lipi. Vyombo vya serikali vilipewa mamlaka ya kufanya lolote...
  16. Rais Samia: Tumepokea ripoti za uchunguzi, tutafanya mabadiliko Polisi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo yaliyotolewa na tume zilizoundwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na baadhi ya askari polisi baada ya malalamiko ya wananchi yataleta “mabadiliko kidogo ndani ya jeshi hilo”. Akijibu swali la mikakati ya Serikali itakayofanya raia wawe na imani na...
  17. #Mwaka mmoja# wa Rais Samia tunatarajia vitengo vya huduma za dharura zaidi ya 150

    Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini. Hii ni kutoka sufuri hadi 150 . Best achievment in one year! CCM HOYEE!
  18. Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari). Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia...
  19. Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
  20. Hivi IGP Sirro kwa kauli hii ya Mbowe, Rais Samia, CCM na yote yanayotokea bado haujishtukii tu?

    Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu? Mbowe ameelezea mambo kadhaa Machi 18, 2022, jinsi ambavyo Jeshi la Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…