samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!. "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi". Mimi nimeupata ujumbe...
  2. JamiiForums Tanzania Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia taifa leo Agosti 22, 2022. Ametoa wito na kuwasihi Watanzania wote kujitokeza kuhesabiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali...
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu! Leo Rais Samia ameni-text

    Mmoja kwa moja niende kwenye picha ya kusindikizia uzi. #UziTayari
  5. JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa Rais Samia kutoka kwa Rais Hussein A. H Mwinyi.

  6. JamiiForums Tanzania Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

    Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi? TAMKO LA TRC Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

    Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia "muondoe "Mwigulu wizara ya fedha..

    Kwanza kabisa masuala ya uchumi WA nchi hayapaswi kuwa chini ya mtu mmoja....zamani tulikuwa na Tume ya mipango ambayo waziri alikuwa sehemu ya tume hiyo...jopo la tume hiyo ndo lilikuwa linaendesha uchumi... Mwigulu ana weakness ya kuongea Kwa kukera watu na ana history ya kutokuwa team...
  9. JamiiForums Tanzania "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

    Wanabodi, Leo nimepata tena fursa kuendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ila makala ya leo ni abstract topic, kuielewa mtu ni lazima uwe na levels fulani za uelewa! leo nikizungumzia kitu kinachoirwa "kauli umba". Kuna hii misemo "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hizi tozo, siyo Mama Samia ni Rais Samia

    Wasomi: Tozo mpya ya benki ni batili, ifutwe SUNDAY AUGUST 21 2022 Summary Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Mpango na Majaliwa hawalipi kodi wala tozo yoyote hapa nchini

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia apeleka bil 20 kukuza uvuvi ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria. Naibu Waziri wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya Rais kujitahidi kuchapa kazi lakini bado Wananchi hawamuelewi!

    Sabato Njema! Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi. Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi. Hii inasababishwa na nini? Kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Enyi Viongozi: Kwa kutushurutisha mnatukosea sana, waajiri wenu ni sisi

    Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno. Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki? Kwingine mbona si hivyo? Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi? Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
  20. JamiiForums Tanzania Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

    Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo. Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…