samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia : Gharama za Bando Kushuka kwa Lazima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

    Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Ndizi Mabibo: Rais Samia tunaomba tusaidie tupate hati ili soko lijengwe

    Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amemteua Mussa Makame, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment Advisory Board). Aidha...
  5. JamiiForums Tanzania IGP Komesha wauaji ya raia au hadi samia aseme na wewe?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetangaza ‘dau’ la Sh1.5 milioni kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya Juliana Lukono (51) aliyeuawa na wasiojulikana wilayani Magu. Mauaji ya mwanamke huyo yanadaiwa kutokea usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2023 alipokuwa akiishi katika Kijiji...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashusha Neema Miradi ya Trilioni 42.4/=

    Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4. Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa muiibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kukamilika Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia Kuandika Historia Nyingine

    Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika ujenzi huo, ambao utaandika historia nyingine. Rais Samia ataingia katika Historia ya Tanzania kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hili la katiba mpya rais Samia atalamba dume

    Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume. Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
  10. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Mwenyekiti Tume UNESCO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Bisanda ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo kwa kipindi cha pili...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ang'aa kwenye mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City

    Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle Sounders dhidi ya Sporting Kansas City kupitia FOX TV na Apple TV, wamepata fursa ya kushuhudia Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi huyu msemaji wa Yanga anadhani Rais Samia hajielewi?

    Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA. Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku...
  15. JamiiForums Tanzania Je, CCM itachagua demokrasia ama utaratibu kumpitisha Samia?

    Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake. Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano akiwa Madarakani na kumpata Rais aliyetokana na Katiba. Kisheria na taratibu za vyama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Raisi Samia mbadilishe Judge Francis Mtungi kwa kumteua IGP Mwema Ret

    Natoa ushauri kwa Raisi judge Francis Mutungi hataweza kukubaliwa na wadau hasa wa upinzani na anaonekana kama chawa kuzidi hata Judge. Kwenye kutengeneza katiba ni lazima uanze na team mpya ambayo wananchi wataiamini. Kwasababu majaji wengi kwa sasa wanaonenakana kama hawaaminiki isipokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna kabila linalompenda Rais Samia kama Wamasai

    Jambo lafiki, Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote. Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia. Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia kubadilisha Baraza la Mawaziri hivi punde

    Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa SADC

    Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei...
  20. JamiiForums Tanzania NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa! Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…