samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

    Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa. Sasa ni zamu ya DW. Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu. Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na...
  4. JamiiForums Tanzania Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

    Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola. Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza...
  5. JamiiForums Tanzania Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  10. S

    JamiiForums Tanzania TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunamuita Mama Samia na sio Rais Samia Suluhu?

    Jana Tarehe 2.10.2024, Nilikua naongea Sehemu. Kuna kitu nilikua sijui ikabidi niulize nasikia mara nyingi Rais anaitwa Mama Samia. Anamtoto anaitwa Samia? Wakaja wajuzi wakaniambia Samia ni Jina lake. Kwa mtazamo wangu, kwani Tukimuita Rais MH: Samia Suluhu vipi haitoshi au uchawa ndo...
  13. JamiiForums Tanzania Mitano tena: Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Ruvuma

    Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza. Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma na kimefanya nini? Huku ni kwao na Waziri wa afya Jenista Muhagama. Fedha za miradi ya afya ya IMF...
  14. JamiiForums Tanzania Ishara ya dole la kati la Zuchu ndiyo chanzo cha kupigwa mawe?

    Kwa kilichotokea mbeya, Msanii wa WCB kwajina maarufu ZUCHU kuwanyooshea mashabiki kidole cha kati kisha kuanza kurushiwa mawe na chupa za maji na baadhi ya Mashabiki walioonesha kukerwa na kitendo kile Huwenda ukawa ni mtego kwa serikali na chama cha CCM. Hii si mara ya kwanza kwa bint huyu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia ndiyo tunaitaka kwani ni ya amani, utu na upendo na wala hakuna mauwaji na mabaya kama ya kwingineko duniani

    Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tatizo kuu la wapinzani wa CCM ni la "KISAIKOLOJIA" dili nao Kisaikolojia kama ifuatavyo

    👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa. 👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili. 👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo...
  18. JamiiForums Tanzania 2 Samweli 2:26: Samia na Free Man Mbowe: "Msigombane Njiani" katika Muktadha wa Kisasa,

    Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26, unaongelea umuhimu wa umoja na ushirikiano, ambapo Abner anasema, "Msigombane njiani." Huu ni mwito wa...
  19. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kivuli cha Mfalme Daudi Kwenye Biblia katika Serikali ya Samia

    Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja. Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
  20. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Rais Samia, kuwataka viongozi waige mfano wa uongozi wa Sokoine. Swali la kujiuliza ni viongozi wangapi wa sasa ni waadilifu?

    Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…