samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina acha kupotosha watu.Hatima ya hii nchi ipo mikononi ya Watanganyika wanaodhurumiwa sio Kikwete.Watanganyika hawamtaki Kikwete na Samia

    Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani Hii haiwezekani. Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hajawahi Kushindwa Ama Kupoteza Vita Yoyote ile na Hajawahi Kushuka Tangia Alipoinuka . Amepigana Vita Maisha Yake Yote . Hababaiki

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kujivunia Uwepo wa Rais Samia madarakani na kitini . Watanzania tumepata Rais hodari ,Rais Imara madhubuti shupavu hodari na Makini kwelikweliiiiiii. Tumepata Rais Kwenye Nguvu ya Maono na Ushawishi. Tumepata Rais Ambaye ana ukomavu Wa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

    Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe. Kinana ni mzee kuliko wasira...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Balozi Mteule wa Ufaransa

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  7. JamiiForums Tanzania John Bina ni kada wa CCM alimshauri Samia kuua waandamaji hafai kuwa kuwa rais wa Femata

    Wachimbaji wadogo mlisikia John Bina akishauri waandamaji wanaopinga taifa lao kuibia rasilimali zao wauliwe. Leo hii yeye kwa kiburi anajinasibu ni mwenyekiti wa Femata. Shirikisho la wachimbaji wadogo hapa Tanganyika. Wachimbaji wengi waliuliwa na kwa risasi Oktoba 29. John Bina hafai hata...
  8. JamiiForums Tanzania JPM Alimuenzi Nyerere Kiukwelikweli kwa Kumuishi kwa Kauli, Maneno na Matendo!. Rais Samia Ana Fursa Adhimu na Adimu Kumuenzi Nyerere!, Je Atamuenzi?

    Wanabodi, Leo ni Nyerere Day, hii ni makala yangu kkwenye gazeti la Mwananchi la leo nikimzungumzia Mwalimu Nyerere nilivyomjua tangu nikiwa mtoto, nikamhudumia kanisani, nikahudumu kama MC wa harusi ya binti Nyerere, nikiwa mwandishi habari nikam cover, nikasafiri nae safari za nje ya nchi...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Samia atakuwa mgeni rasmi Nyerere day.

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amemuwakilisha Samia kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya Nyerere.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Ingrid Johansson, Balozi Mteule wa Sweden hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Balozi mpya wa Ubelgiji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mheshimiwa Lot Debruyne Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati Balozi mpya Ujerumani

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Annett Gunther, Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Balozi Mpya wa Nigeria

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Rahmat Omobolanle Mohammed Balozi Mteule wa Nigeria hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  14. JamiiForums Tanzania CCM hawana Mifumo ya kulinda Viongozi wao wa Juu. Je, Samia Suluhu na Mwigulu wanalindwa kweli?

    Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi? Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bil 700 kutengwa kwa ajili ya el nino ni upigaji au?

    Sioni dalili za el nino wala nini? Nasikia kuna bil 700 zilishatengwa kwa ajili ya el nino. Nasikia harufu ya upigaji wa hali ya juu.
  16. JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AWAPA SUPU WASHIRIKI BAADA YA MWENGE VIJANA MARATHON

    Vijana walioshiriki Mwenge Vijana Marathon leo asubuhi katika Manispaa ya Sumbawanga wamepata fursa ya kupata supu iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, hatua iliyopokelewa kwa shukrani na washiriki hao. Akizungumza baada ya mbio hizo...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

    Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee. Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
  18. JamiiForums Tanzania Raisi samia na kashfa zake kumbe ile kauli ya kusema kuna watu wamelipwa ndio yeye kufanya haya.

    Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda anaweza kuwa Presdential material bora kuliko Samia, au Madelu

    Kwa maoni yangu binafsi, Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
  20. JamiiForums Tanzania Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa. Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…