Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake.
Ndiye anayeweza...
Message from H.E. António Guterres, Secretary-General of the United Nations, to H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, today, 14 December 2025, upon receiving a Special Envoy from Tanzania.
“Tanzania has been a reference point for peace and social cohesion...
HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani nilipokuwa Msanii wa muziki. Najua utajiuliza ni lini TaikonMaster aliwahi kuwa mwanamuziki. Lakini...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi...
Ninaamini kuwa wapo baadhi ya Watanzania wamekuwa wakifanya mzaha na mamlaka ya raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia tangu alipoingia madarakani, walipoanza kudhibitiwa wakaanzisha malalamiko kwa mgongo wa kuonewa
Mzaha wa kwanza ni pale raisi wa Tanzania alipoitwa mama badala...
Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
rais
rais samia
rais samiasuluhusamiasamiasuluhu
serikali
serikali ya tanzania
siku
suluhu
tanganyika
tanzania
tarehe
uhuru
uhuru wa tanganyika
watanzania
Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani.
Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa watawala!
Una videos zaidi? Share!
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam.
Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema.
Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed.
Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!.
Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ?
Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
Kuuliza sio ujinga,
Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa?
Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani?
Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
Katika kampeni za mwaka 2020 uchaguzi mkuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Hayati Magufuli ambaye kwa sasa ndiye Rais Samia alisikika akisema, Nendeni mkapige kura kwa CCM, kwa sababu hata mkipiga kura mahali pengine, CCM bado itaunda serikali
Yani CCM kauli zao zinawafunga wenyewe kwa wanayo yafanya.
Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?
Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!
Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa.
Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
Rais Samia!
Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...
Are the people advising the president allergic to history books? Do they scroll past every comment on Instagram with their eyes closed?
Because apparently, nobody has had the genius idea to mention that giving your kids or relatives public office is the fastest ticket to the city of conflict of...