samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Samia kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute?

    Kama MTU ana Mamlaka ya kulitaka Jeshi la Polisi Kuacha Kumtafuta Gwajima, Maana yake Ndie aliyeamrisha Jeshi la Polisi Limtafute Gwajima !!. Nadhani swali la, Nani Kiongozi wa Genge la Watekaji? Je ni Akina Mafwele, Muliro ? Jibu ni Moja, NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN .
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kuuliza SI ujinga, mwanahenzi Suluhu Hassa ni mdogo wa Rais Samia Suluhu Hassani?au Samia aliolewa kutoka Kwa Mzee Awadhi?

    Kuuliza sio ujinga, Huyu Mwanahenzi saluhu Hassani aliyeteuliwa nafasi ya ubunge vijana, kutoka zanzibari kuingia Bara ni mdogo wa Rais wetu mpendwa? Au ni miongoni mwa watoto WA Rais ila alimzaa kwa mume mwingine aitwae Suluhu hassani? Kuuliza SI ujinga naomba kuelemishwa
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania TBT; Samia: Nendeni mkapige kura kwa CCM, kwa sababu hata mkipiga kura mahali pengine, CCM bado itaunda serikali

    Katika kampeni za mwaka 2020 uchaguzi mkuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Hayati Magufuli ambaye kwa sasa ndiye Rais Samia alisikika akisema, Nendeni mkapige kura kwa CCM, kwa sababu hata mkipiga kura mahali pengine, CCM bado itaunda serikali Yani CCM kauli zao zinawafunga wenyewe kwa wanayo yafanya.
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi? Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama!

    Samia sasa anataka kusingizia dini kwenye machafuko. Tatizo ni wewe Mama! Huwezi kusingizia wakatoliki wakati walitoa maonyo ya wazi na kufunga kuombea taifa. Machawa wapo na dharau zako ndizo zimetufikisha hapa umekuwa kipofu kutokana na dharau zako na tamaa
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Raisi Samia Suluhu Hassan Umeamka Kujichunguza?

    Rais Samia! Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...
  8. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 United Kingdom of Tanzania? Why Samia appointing her daughter and son-in-law as ministers is a terrible idea that Mugabe himself later regretted

    Are the people advising the president allergic to history books? Do they scroll past every comment on Instagram with their eyes closed? Because apparently, nobody has had the genius idea to mention that giving your kids or relatives public office is the fastest ticket to the city of conflict of...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kututukana watanzania

    Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kutu tukana wataanzania. Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani iliyofanya vitu kama hivi vya matusi, kuna watu wamejimilikisha hii nchi hatutakubali.
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Bashiru: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi umechangia kwa kiasi kikubwa Samia kupata ushindi mnono

    Jamani njooni msikilize Bashiru! Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za kushinda kishindo zilitoka wapi? ==================== Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt...
  12. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Samia imezimwa kabisa. Kama siyo Rais yaani, kama hajaongea kitu!

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu kamupuuza Lakin naona kazimwa kabisa baada ya leo TEC kutoka na kutoa tamko lao Samia Suluhu...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

    Minongo'ono kwenye vijiwe vya kahawa vinasema baadhi ya madhehebu ya dini yamegeuka kuacha kufanya kazi za Mungu na kujiingiza kwenye biashara. Baada ya mabadiliko makubwa ya pale bandarini, katoliki wamekuwa wakali sana. Je, Maslahi yao yaliguswa? Makanisa Wanachama CCT Kanisa la Kiinjili la...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Samia, msamaha wako tumeukataa na sisi siyo vijana wako. Tukutane D9

    Amani iwe nanyi watu wa MUNGU Huu msamaha wa huyu muuwaji tumeukataa rasmi Kwanza hauna vigezo wa kuitwa msamaha, sisi ndo tunapaswa tukusamehe siyo wewe kigagula utusamehe sisi Kingine sisi siyo vijana wako tafadhari sana Samia tumia akili japo kidogo Tukutane tarehe D9 SAYUNI BOY
  15. W

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Tutafufua vilivyotelekezwa baada ya kubinafsishwa

  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiskiliza huu ufunguzi wa hili bunge unaweza dhani baada hizo siku 100 Tanzania itakuwa paradiso, Matapeli wako kila mahali

    Ukimsikiliza huyu mama kwa anayoyaahidi kama so yeye aliekuwa madarakani nakushindwa kufanya hayo hayo, wanafanya siasa ionekane ni mchezo wa kitapeli. Leo hii anaahidi ahadi ambazo unaweza dhani Tanzania inaenda kuwa peponi siku 100 zijazo. Tuweni makini watu wangu, siku hizi matapeli wako...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
  18. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia Suluhu Hassan: msiwe wabomoaji wa nchi yenu

  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

    Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao. Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
  20. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
Back
Top Bottom