samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

    Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. "Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  5. JamiiForums Tanzania Uganda: Rais Samia Suluhu ashiriki utiaji saini kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP)

    ======= Rais Samia Suluhu: Wote tunajua jinsi Rais Magufuli alivyounga mkono mradi huu hivyo kuahirisha zoezi hili ilikuwa katika heshima kutambua juhudi zake katika mradi huu. Mradi huu utatoa mapato kwa nchi zote, ajira za muda mfupi na kudumu na kujibu tatizo la ajira. Mradi huu utakuza...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Samia Suluhu Uganda's trip

  7. JamiiForums Tanzania IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu atuma salamu za rambirambi kwa familia ya malkia wa Uingereza

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II, baada ya kifo cha Mwanamfalme Prince Philip. Kupitia ukurasa wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Twitter ameandika kuwa:-
  10. JamiiForums Tanzania Vipimo vya awali vya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu!

    Rest in peace John Pombe Magufuli. Hongera kwa Mh Rais Samia kwa kukamata kijiti. Mimi nikiwa muumini wa Sera na utekelezaji wa Ilani ya CCM nachelea kusema vipo vigezo muhimu vitakavyoelezea utendaji kazi wa Mh Rais Samia katika awamu ya sita ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa yale Serikali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Magufuli!

    KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa. Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waraka Maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hujuma zinazofanywa na Watendaji wako NIDA

    WARAKA MAALUM KWA MH. SAMIA SULUHU RAIS WA TANZANIA JUU YA UTAPELI NAOFANYIWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA Salaam kwako Mkuu wa Taifa la Tanzania, naitwa DON NALIMISON ni Mwanamuziki na Mjuvi wa Falsafa, malalamiko yangu nayafikisha Mbele ya Kiti chako Cha Ikulu ili niweze...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

    Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. ------- AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mama Samia Suluhu akikubali kuwa Mwenyekiti wa CCM ataweza kulisimamia Taifa?

    Moja ya changamoto kubwa inayokabili watawala wetu nikuaminishwa kwamba usipokuwa Mwenyekiti wa chama hautoweza kuongoza Nchi. Hii ni doctrine imewekwa kulinda maslahi ya chama na kumfanya Rais awe na jukumu lakulinda chama. Kulinda chama hakuhitaji haki maana ukisimamia haki hakuna namna chama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan tusaidie kutengua kitendawili cha wasiojulikana

    Toka awamu ya tano iingie madarakani matukio ya kutekwa, kushambuliwa na kuuawa yalikuwa yakidaiwa kutekelezwa na watu wasiojulikana. Hadi hii leo ninapotoa ombi langu hili kwako, watekelezaji wa vitendo hivyo vya kutisha hawajaweza kubainika ni akina nani zaidi ya wasiojulikana. Katika hiyo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Namuona Rais Samia Suluhu Hassan akienda kunyakua tuzo ya Mo Ibrahim. Labda wana CCM wamkwamishe!

    Awali ya yote mie binafsi nampongeza mno mno mno hadi sasa walau anatutia moyo na kuturudishia matumaini mapya! Huyu Mama ana set standards za namna Kiuongozi Mkuu wa nchi anavyopaswa kuwa. Hafokei Haropoki Yupo very composed Hana papara Anafahamu shida za watanzania ki uhalisia Mpole kama...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…