Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze...
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, leo Agosti 14 jijini Dares Salaam, mgombea urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliposema kuwa yeye anafaa kuwa Mbunge wa Taifa, alimaanisha kwamna yeye atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Rais Samia alitoa taarifa...
Harambee ya usiku huu ni ishara tosha kuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa na hakina utani wakati wa kukamata dola utakapofika.
CCM ni chama dume, dume lenyewe la mbegu hasa.
Usiku Mwema Wahaini Wote.
==
Mkuu wa mkoa wa Mara akiongea mbele ya wanahabari alisema kuwa Mkoa wa Mara umeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kupitia vituo vya Nyamongo, Musoma, Bunda na Kibara.
Hadi kufikia Machi 2025, Mkoa una jumla ya wateja 142,277 na mtandao wa njia za kusambazia umeme wa msongo wa 33kV wenye urefu...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti
HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025
https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu
Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
Kwa...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Msafara wa Magari...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆 Tarehe 28 Julai - 3 Agosti, 2025
MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA CCM (T) MHE. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MABADILIKO CHANYA KATIKA KUKUZA DEMOKRASIA YA KUWAPATA VIONGOZI WAWAKILISHI KUPITIA UVCCM
Tarehe 1 Agosti, 2025 itaendelea kukumbukwa kama siku ya mafanikio makubwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo...
Vijana wawili wa jamii ya kimasai Mkoani Arusha wamepigwa faini ya Dume moja badala ya kuchapwa fimbo 70 baada ya kumkashifu Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika eneo la kata ya Elerai Mkoani Arusha.
Akizungumza katika Mkutano wa Mila ulioitishwa ili kulaani kitendo hicho Kiongozi wa...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
Wakuu!
Bahasha zinatembea, beat likipigwa! :oops:
Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu hakusalimika, kapokea zake huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini...
WARAKA WA MOYO KWA MAMA YETU; RAIS DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN
(SEHEMU YA KWANZA)
Na: Alex Msama Mwita 🇹🇿
Julai 26, 2025
UTANGULIZI
Mama. Nakuita tena, mama. Leo nikiwa nyumbani kwetu Tarime, mkoani Mara, moyo wangu umenisukuma kuandika waraka huu maalum kwako—waraka wa tafakari, shukrani na...
Hii ni kwa sababu:
1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili.
2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka.
3. Ngwe ya mwisho ni...
Husika na mada tajwa hapo juu.
October tutakuchagua kwenye sanduku la KURA kwasabu umetumalizia shida zetu, tunaishi kwa amani, si mtumishi, si mkulima, si mfanyabiashara, si mfugaji, si mjasiriamali, si mvuvi, si mtumishi wa Mungu, si mwanasiasa wote tumeponywa majeraha
Wanasema zimwi...
Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani.
Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...